Nampenda huyu Mhadhiri wa kike, sijui nimweleze au?

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
wadau wa jamvini, ukweli tumekuwa tukishauriana mengi tena kwa ustarabu na busara ya hali ya juu. Mimi ni mwanafunzi ktk chuo fulan hapa Dar, nimetokea kuwa na hisia za kimapenzi kwa mwanamke mmoja mrembo, mhadhiri mwenye hadhi ya Udokta PhD, Si wamakamu sana bt ni mrembo, mwenye tabasamu la ushawishi. Nashindwa nimweleze au laah! Na sijui ntapomwambia Reaction yake itakuwaje bt NAMPENDA KI UKWELI, Please wadau nisaidieni kwa ushauri, mwenzenu nipo njia panda!
 
We ni mwanafunzi wa shahada ya ngapi?
 
We ni mwanafunzi wa shahada ya ngapi?

ata km yupo semester ya kwanza 1st yr poa tu ilimrad kupendana...we mtokee tcha akikukubalia fresh akikutalia bas ujue urafiki utaishia apo cz atakuona MPUUZ,UMEMCHUKULIA POA...kukuchekea ,kuongea na wewe fresh ndo imekuwa sababu ..asi unajua wasom walivyo?
pia waweza kwaa bahat cz uenda anakupenda pia...

HAMJAPISHANA SANA UMRI?
 
Hisia za kimapenzi ni nini?

Hisia za mapenz ni zile hisia znazokupelekea kumtaman mtu wa jinsia nyingine/jinsia yako kufanya nae mapenz.

nawasilisha.

utauliza tena KUFANYA MAPENZ NININ?.....km nakuona vle...:love::love:
 
Mwenzetu badala ya kuconcentrate masomo unammezea mate mhadhiri wako? Yuko singo au ni mali za watu?
 
Kama wanavyosema mapenzi haya
Chagui mila, dini, rangi, n. K

Usema u kweli
Sisi hapa hatuwezi kukwambia
Kama atakubali au la..
jibu hilo analo huyo binti mrembo

So I'm gona say GO FOR HER ....
u only live once..

Peace
 
ata km yupo semester ya kwanza 1st yr poa tu ilimrad kupendana...we mtokee tcha akikukubalia fresh akikutalia bas ujue urafiki utaishia apo cz atakuona MPUUZ,UMEMCHUKULIA POA...kukuchekea ,kuongea na wewe fresh ndo imekuwa sababu ..asi unajua wasom walivyo?
pia waweza kwaa bahat cz uenda anakupenda pia...

HAMJAPISHANA SANA UMRI?

Mwanafunzi wa Semista ya kwanza ya shahada ya kwanza Vs Lekchara mwenye PhD?

Babu cant buy this.....otherwise iwe Phd kama ya JK na mwanafunzi awe anayesoma baada ya kupiga kazi miaka kumi akaamua ajiendeleze.
 
Kweli mapenzi hayachagui kwanza nakupongeza kwa kutokuwa among wale wanaume ambao husumbuliwa na tofauti za kielimu hasa pale wawapendao wakiwa wamewazidi. Angekuwa mwingine angezikemea hisia zake kwa maneno kama ....mwanamke mwenye phD utamweza??......n.k. Kama wewe ni mstaarabu na una hadhi yako .jaribu bahati yako. You neva know labda naye anaugulia moyoni.

na ticha naye akiwa mstaarabu anayeelewa hisia za mapenzi zilivyo sidhani kama atakukasirikia iwapo hatakuwa na mutual feelings kwako. Mradi tu akikwambia haiwezekani basi heshimu maamuzi yake na keep on respecting her sio uanze kumnanga bure.

ANGALIZO: Kimaadili ya kikazi (za ualimu vyuoni) kama unawezavumilia amalize kozi anayokufundisha ndo umtokee kwa sababu ukimweleza na mkawa wapenzi (au la) hatakiwi kukufundisha tena.
 
Mkuu usiogope kumtokea ila angalia asije akakufelisha kwenye test l.o.l!!!!!
 
Mjukuu kuna dalili huyu jamaa akimtoea lecturer wake lazima atafelishwa kwenye test zake l.o.l
 
Mjukuu huyu kuna dalili huyu jamaa akimtoea lecturer wake lazima atafelishwa kwenye test zake l.o.l
Hapana babu si lazima kufelishwa.......hata akifaulu itakuwa maneno....kwa kawaida huwa hairuhusiwi.
Wifi yangu aliolewa na kak yangu mwalimu pale by that time alikuwa anasoma Masters na kaka ndo alikuwa supervisor wake so ilibidi abadilishiwe supervisor kabla hajatokewa!

Mwalimu wangu aliolewa na mwanafunzi wake bahati mbaya wakati wanaanza walijitia kuficha but ilipogundulika tu mwalimu akabadilishiwa vipindi na monitoring ikaanza, mkaka hakuruhusiwa kuchukua kozi yoyote iliyokuwa inafundishwa na mwalimu na kwa zile core ambazo hakuwezakuzikwepa, test zake, assignments zake na mitihani yake ilisahihishwa na mwalimu mwingine!
 
Mwanafunzi wa Semista ya kwanza ya shahada ya kwanza Vs Lekchara mwenye PhD?

Babu cant buy this.....otherwise iwe Phd kama ya JK na mwanafunzi awe anayesoma baada ya kupiga kazi miaka kumi akaamua ajiendeleze.

ahh wap kachaliii ndo kamemaliza feza boys last yr ndo kameingia chuo mwaka u....mbona asemi ana miaka mingap
 
Tatizo siyo PhD ila ni je ni mke wa mtu? kama kaolewa na wewe ni mzengeaji tu basi epuka dhambi hiyo kama ukoma. Kama yuko single try it na usiogope hata yeye anahitaji mwandani pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom