Nampenda bt naogopa kumwambia!

Nafikiri huna upendo wa dhati ndani yako hujiamini una mashaka kama kweli unampenda mweleze lililopo moyoni mwako mapema kabla hujajajuta.
chelewachelewa utakuta mwana si wako
 
Kuna wadada wengine wanakuwa siriaz kiac kwamba inakuwa ngumu kuwachana live. Kaka mtumie sms, hata asipojibu lakini atajua kwamba unamzimia.
 
Nimempigia simu, naona response ipo poa aisee, tena nimetumia simu ya ofisi.
 
mzaz mwambie,songa mbele mwambie......sasa unasema anajua unampenda,unataka nn tena???nenda zenji kuna jamaa kafungua consultancy firm ya kusaidia watu kama ninyi.
 
staili ya long zile tumia barua au kma vp mvizie kwa kona akitoka tuu unatema madini ila barua itakufaa mzee c kuongea unaogopa,tia mistari kwa karatasi na peni!
 
unapokua unampenda mtu kwa dhati hua inaambatana na heshima sana kiasi kua kama huna tafsiri sahihi ya hisia ulizonazo unzaeza kufikri kua ukimwambia ni kama kumkosea heshima.
lakini we mwambietu,.
Njia rahisi ya kuweza kumwambia ni usiwe siriaz sana unapoongea nae,anza kama unatania halaf maongei yakiendelea kama wa dakika 5 mpaka kumi utakua umeshapata konfidensi(kujiamini).sasa wakati hua kua siriaz kabisa na sisistiza kauli zako.

akikubaki ussahau kutupa feedbak bak bana.

all the best.
 
Nimetoka kuongea na mrembo muda c mrefu, ushauri wenu naona wafanya kazi coz mtoto dah, kafurahi sana, nimemuomba tukutane saturday, sasa nipeni swaga za kumwagia siku hiyo!
 
Nampenda binti fulani, mtoto mzuri sana wa hapa kitaani bt kumwambia nashindwa though najua anajua nampenda. Nifanyaje wadau? Nishaurin plz!

Una miaka mingapi kwanza kabla sijakushauri??Maana kijana mjanja na kama unavyojiita wewe mwenyewe ni wa kitaani sijui kama atashindwa kutongoza...Naona ndio bado unaanza haya mambo ndio maana unaomba msaada.....

so so so fresh nishawapa ndugu bt stil mtoto bado. Eti anatakasikia toka kwangu, realy nashindwa nisemaje, nifanyaje?

Yaani unataka utongozewe huyo demu wewe umkamue tu au sio mkuu??

ana 24 yrs, mi nataka km vp nimweke ndan, nipeni skils jaman! Kweli kupenda maradhi!


Mkuu sasa huyo demu wa miaka 24 bado anakusumbua akili...Alafu hapo hapo unataka skills mapenzi hayana skills hata kidogo mkuu zaidi ni ujanja na akili zako na muonekano wako kwa mwanamke....


Nimempigia simu, naona response ipo poa aisee, tena nimetumia simu ya ofisi.


Au sio kwa hiyo ukionana nae face to face utaweza kuongea??


Nikimpata mchakachuo wake nitampa wa ukweli tbh!


Hahahaha kumbe umemtamani na sio kumuweka ndani kama ulivyosema hapo juu....

Nimetoka kuongea na mrembo muda c mrefu, ushauri wenu naona wafanya kazi coz mtoto dah, kafurahi sana, nimemuomba tukutane saturday, sasa nipeni swaga za kumwagia siku hiyo!

Sasa mkuu kama huyo dada anaheshima zake kama madada wa humu JF nadhani atakubwaga.....Kama anakujuwa basi usijibadilishe nenda kaonane nae kama anavyokujua...Ukishaanza kutaka maswaga na kuvaa ovyo ovyo utaaribu kila kitu...Pia sidhani kama kuna mtu humu anaweza kukuambia kaongee nae hivi na hivi hayo maneno hiyo siku yatakuja yenyewe tu so goodluck mzee angalia tu usijisife sana mpaka ukaharibu
 
Mrembo nimewasiana nae ile night, kanipanga saturday kwa mazungumzo zaidi, sasa nipeni techniques, mambo ya kufanya na maneno mazuri ya kumpa nicje haribu!
 
Back
Top Bottom