Nampenda bt naogopa kumwambia!

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
Nampenda binti fulani, mtoto mzuri sana wa hapa kitaani bt kumwambia nashindwa though najua anajua nampenda. Nifanyaje wadau? Nishaurin plz!
 
so so so fresh nishawapa ndugu bt stil mtoto bado. Eti anatakasikia toka kwangu, realy nashindwa nisemaje, nifanyaje?
 
ana 24 yrs, mi nataka km vp nimweke ndan, nipeni skils jaman! Kweli kupenda maradhi!
 
Jamani mwanaume akishindwa kumwambia dem anampenda sijui namwonaje? basi anza kwa kumpa zawadi za hapa na pale,mwombe siku moja ukampe lunch kidogokidogo woga utakutoka
 
mwambie ku2nga verse we hujui ila unajua kumwambia ya kwamba unampenda na unataka yeye na wewe mkaumbe watoto wenu
 
Unataka cc 2kusaidie nn? mana yy atajuaje unampenda bila ww kumchana live!! kama 1st stage kutongoza umechemka!! vp 2nd stage kuomba mzigo ......!!
 
Mh au amwombe wakutanishe vikojoleo tehetehetehe
We ndugu yangu we kabnt kanakupenda kshenzi,hapo hakuna kutongoza ni kuomba kazi tu Au shika sehemu yako ya siri na huyo bnt.nakuomba mchezo
 
Back
Top Bottom