Namna ya kuongeza ukubwa wa picha katika JF

qq.com

JF-Expert Member
Jan 9, 2012
367
123
Mimi nafahamu kwenye blog,lakini hapa JF inanigomea

naomba mwenye kujua maujanja atufahamishe

pengine zinawekwa picha hapa ndogo sana,wenzetu wanajitokeza na kuzikuza,maujanja haya tujuslishe basi
 
Ukisha maliza kui upload picha peleke kasa yako kwenye picha kisha double click, kitafunguka kiwindow chagua full size then ok, youre done
 
hapa jf i think wanatumia bb code sjawahi jaribu ila code ya kuresize picha ni hii hapa

(img width= height=
)url(/img)


Utachange mabano () kuwa [ ] width ni upana mfano unaeka 320 na height urefu mfano 240
 
au tumia Image hosting websites kama tinypic.com, imagechef etc, utachagua resolution unayoitaka,,,,baada ya hapo unaPaste direct link ya hiyo picha kwenye sehemu ya URL,,

5f4y6o.jpg
205b9fm.jpg
1zdvncx.jpg
dgqhrb.jpg
k9usnk.jpg
 
Back
Top Bottom