Namna ya kukata rufaa baada ya hukumu

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
6,829
1,296
Ndugu yangu kahukumiwa kifungo cha miezi sita kwenye kesi ya madai..............; kwamba aliwaajiri watu amabao walikubaliana kulipana bbada muda fulani na kwa kuwa yeye hakuwa ametimiza malipo muda ulipofika ; wadai wake walifungua kesi katika mahakama ya mwanzo na hukumu imetolewa kuwa atumikie kifungo kwa muda huo isha akitoka alipe deni................ndivyo nilivyosimulliwa

Wadau wa sheria nisaidieni ....kesi ya madai kama hii in adhabu ya kufungwa ama kuna namna ama shinikizo nisilolijua hapa? najiandaa kukata rufaa kuwa haki haikutendeka upande wa ndugu yangu naombeni ushauri.........juu ya utaratibu na vigezo vya kuomba kusikilizwa upya kwa kesi hiii katika mahakama ya juu.

nakaribsisha PM pia
 
Back
Top Bottom