Namna ya kujitegemea kiuchumi kutokana na mapato ya ndani

Sabi Sanda

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
409
31
1. Kodi ya Gari (Road Licence Fee) kwa siku iwe shilingi elfu 25 kwa gari moja. Iwapo kiwango hiki kitapitishwa, kutokana na chanzo hiki pekee Serikali itakuwa ikikusanya zaidi ya shilingi bilioni 750 kwa mwezi. Mpaka sasa makusanyo kwa mwezi kwa Serikali kuu toka vyanzo vyake vyote ni chini ya shilingi bilioni 690.

2. Kodi ya Ardhi KWA UBALOZI WA MAREKANI IWE NI DOLA ZA MAREKANI trillioni MOJA KWA SIKU.
 
Ongezeko la kodi ya Magari litasaidia kufuta utegemezi wa Wafadhili na pia litapunguza foleni kwa kiwango kikubwa kama si kuliondoa kabisa.
 
Kweli mkuu hiyo safi hata kujisaidia(kuj*****a) hadharani iwe faini ya tsh 500 pato la ndani litaongezeka.
 
Kodo ya parking ya shangigi regardless la Serikali au La mitaa ya posta kwa saa ni sh 10,000. Hii itapunguza idadi ya mashangigi town na kuingiza pato kubwa kwa taifa.
 
Back
Top Bottom