Ngagarupalu
Senior Member
- Oct 13, 2012
- 156
- 57
Asante nimefanikiwa kwa laini yangu ya airtel..
lipia huduma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante nimefanikiwa kwa laini yangu ya airtel..
Njia nyingine rahisi ni hii hapa....*141*0765579302*5000# alafu bonyeza OK.kwa mtandao wa voda ila lazima uwe na salio si chini ya 6000.
..mkuu hata mm imeniambia hivyo ..nikajua nimekosea sehemuNimepiga *150*03# inaniambia niwasiliane na tawi la karibu ili kuweka kumbmb zangu sawa lkn walinitumia sms
Hapo inabidi utembelee tawi lililo jirani nawe.Mimi inanambia taarifa zako bado hazijatufikia sasa sielewi taarifa gani wadau naomba msaada hapo
kwakweli umeniacha hoi mkuu!!!Njia nyingine rahisi ni hii hapa....*141*0765579302*5000# alafu bonyeza OK.kwa mtandao wa voda ila lazima uwe na salio si chini ya 6000.