Namna ya Kuifanya JF Ifahamike Zaidi na Kufanikiwa Zaidi

Sabi Sanda

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
409
31
Inaitia moyo kuona jinsi JF inavyoendelea kukua na kufahamika zaidi. Pamoja na maendeleo ambayo JF imepata mpaka sasa napendekeza njia zifuatazo zitumike ili kuitangaza zaidi na kwa gharama nafuu

Njia ya Kwanza

Tutengeneze matangazo kwenye A3 (black and white) yenye maneno kama TEMBELEA JAMIIFORUMS KILA UCHAO NA INAPATIKANA HAPA www.jamiiforums.com. Matangazo haya yabadikwe kwenye vituo vya basi, mitaani, vyuoni na katika shule za sekondari na msingi. kwa kuanzia tunaweza kuanza kwa kubandika angalau matangazo kama 1,000 na kuona matokeo yake.

Njia ya Pili

Mods waongee na kituo kimojawapo cha Redio ili tuitangaze JF kwa angalau mwezi mmoja kwa kulipia matangazo yasiozidi dakika moja kwa wakati mmoja. Kupitia njia hii katika redio husika JF inaweza kusikika mara tano kila siku au mara 150 kwa mwezi. Na tunaweza kuwa tunafanya hivi kila baada ya miezi mitatu na kupima matokeo yake.

Kama mawazo haya yatakubalika mchango wangu utakuwa shilingi elfu 20 ili JF iweze kufanikiwa na kufahamika zaidi.
 
Ni mawazo mazuri, lakini hapo penye bluu, changia hata kama mawazo hayatakubalika na wadau!
 
NENDA NAYO HIYO 20 ALFU CLOUDS FM UKATUTANGAZIE TUTASHUKURU
 
Hiyo ahadi niliyoitoa ni maalumu kwa ajili ya mapendekezo niliyoyatoa. Uchangiaji wangu wa kawaida kwa JF unabaki palepale. Mwaka huu kuna lengo nimeliweka la kuichaingia JF na ninategemea kulitimiza kabla ya mwisho wa mwaka huu.
 
Kwa vyovyote hakuna tija ya kuwa na wanachama wa ziada kama wanaoongezeka sio great thinkers.
 
Sabi Sanda
user-offline.png
JF Premium Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Pdidy
user-online.png
JF Senior Expert Member

Kama mawazo haya yatakubalika mchango wangu utakuwa shilingi elfu 20 ili JF iweze kufanikiwa na kufahamika zaidi.

NENDA NAYO HIYO 20 ALFU CLOUDS FM UKATUTANGAZIE TUTASHUKURU
Crap!
 
Back
Top Bottom