Namna ya kugonga Thanks

Enny

JF-Expert Member
May 26, 2009
962
130
Naomba kuelimishwa namna ya kumgongea mtu THANKS kwenye thread yake.
 
Naomba kuelimishwa namna ya kumgongea mtu THANKS kwenye thread yake.

Enny,
Utaweza kufanya hivyo pale utakapokuwa umelog on kama member wa JF na sio mtupia jicho tu!

Ukiwa ume-sign in basi chini ya thread ya mtoa mada utaiona hiyo thanks, basi inabofya tu hako na unakuwa umemgongea huyo mtoa mada thanks.
 
Back
Top Bottom