mi nakushauri kama unataka blog ya biashara fungua wordpress au blogspot ndo ziko visible sana google just fata step hizi
-Ingia website yao mfano
WordPress.com - Get a Free Blog Here
- tengeneza acount bure then activate acount yako kwa kuverify email
-anza kutengeneza blog, blog sio ngumu kutengeneza ni just kuandika maandishi na kupost picha. Sio lazima uwe na uelewa wa kucode.
Jaribu utapokwama rudi kwenye hii thread post ulipokwama
mi nakushauri kama unataka blog ya biashara fungua wordpress au blogspot ndo ziko visible sana google just fata step hizi
-Ingia website yao mfano
WordPress.com Get a Free Blog Here
- tengeneza acount bure then activate acount yako kwa kuverify email
-anza kutengeneza blog, blog sio ngumu kutengeneza ni just kuandika maandishi na kupost picha. Sio lazima uwe na uelewa wa kucode.
Jaribu utapokwama rudi kwenye hii thread post ulipokwama
sory broda chief! Hv blog huwa
hazna designing? Maana
ktambo nliwah kufungua
wapka.mobi katika ku design
maandish yakawa yanabebana.
Snahamu tangu skuile
nkaipotezea
MSAADA PLZ
Hiyo sio blog ila zinaitwa mobile website na mara nyingi websites kama hizo zinazotengenezwa wapka.mobi, wen.ru na xtgem.com zinakua na custom design mfano xtgem wao ili u edit design unatakiwa upaste css yako kwenye folder linaloitwa creator_template.css
Hii inasaidia but ina complication hs kwenye kuchagua domain huwa inagoma....msaada tafadhali..mi nakushauri kama unataka blog ya biashara fungua wordpress au blogspot ndo ziko visible sana google just fata step hizi
-Ingia website yao mfano
WordPress.com - Get a Free Blog Here
- tengeneza acount bure then activate acount yako kwa kuverify email
-anza kutengeneza blog, blog sio ngumu kutengeneza ni just kuandika maandishi na kupost picha. Sio lazima uwe na uelewa wa kucode.
Jaribu utapokwama rudi kwenye hii thread post ulipokwama
ikigoma inaandika nini?Hii inasaidia but ina complication hs kwenye kuchagua domain huwa inagoma....msaada tafadhali..
invalid domainikigoma inaandika nini?
hio domain unayochagua umesha inunua? sio ya mtu?invalid domain
Nimekusoma bosi..hio domain unayochagua umesha inunua? sio ya mtu?
blogger na wordpress domain zao ni sundomain tu zinakuwa kama jinalako.wordpress.com au jinalako.blogspot.com ukitaka jinalako.com inabidi ununue kwanza.