Namna ya kuandaa chachandu mbalimbali

akohi

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
788
524
Wakuu samahani kwa anajua atujuze maana mf ukipita kwenye migahawa ya wahindi utakuta wana chachandu ya nazi nafikiri huwa wanachanganya na ndim na pilipili lakin mie nimejaribu sipati same taste kama ile.

Ile kitu kwa kachori au kababu ni balaa mbaya hasa ukiamuka una hang over na huna hamu ya kula.
 
Nazi+ kotmiri + maji ya ndimu + kerot kipande ukipenda + pilipili za kuwasha + ukipenda majani ya mvuje km matatu Weka vyote kwenye blender saga .
Nb. Maji ya ndimu yawe ya kutosha tegemea nwenyeo unataja ichapuke vipi
Wakati wa kusaga ongezea maji ya kawaida kidogo na chumvi usisahau.
Enjoy chatney
 
Asante sana Mrs. Kharusy.

Kotmir ikoje au mbadala wake nini hasa huku kwetu uswaz na majani ya mvunje pia siyafahamu.

Usinchoke tafadhari
 
Hio ni kotmiri...hayo majani sorry kuna na vichupa hapo visikuchanganye na mvuje ni majani huko uswazi ndo mengi hasa
 
Attachments

  • 1408271604700.jpg
    1408271604700.jpg
    45.5 KB · Views: 806
Nashukuru ngoja ntapita sokoni kuulizia...asante sana.

Asante Mod pia japo niliweka neno mbali mbali kwa kutegemea wataalamu wangefunguka kwa kutufundisha aina tofauti tofauti za chachandu.
 
Nazi+ kotmiri + maji ya ndimu + kerot kipande ukipenda + pilipili za kuwasha + ukipenda majani ya mvuje km matatu Weka vyote kwenye blender saga .
Nb. Maji ya ndimu yawe ya kutosha tegemea nwenyeo unataja ichapuke vipi
Wakati wa kusaga ongezea maji ya kawaida kidogo na chumvi usisahau.
Enjoy chatney

Kitu chatne jaan wangu

Mvuje hata kwa badia unaweka.....

Home mom kapanda mkubwa huo coz ni tabu kupatikana hadi kwenye mwitu

Hiyo kotmir haiharibiki ukiweka ivo? Kama utapenda saga na kitunguu saumu then weka katika friji inakaa mda mrefu
 
Yes jaan hata mm nikipata naweka kwenye badia mama yangu ndo anapendaaa. Akienda out of town tu laxima arudi na mchaichai na hayo mivuje mfuko teeele.
Hio pic hapo juu ya kotmiri hivo ndo nnavyozihifadhi mm..naweka maji kwenye glass then navitumbukiza vile vimiche chini hua haiharibiki wala hainyauki for days...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom