Namna hii dada zetu watasalimika mikononi mwa Polisi....

Tatizo kubwa la Polisi wetu wao wana mkono wa kupokea tu hawajazoea kutoa, ndio maana hata Dada zetu hawako interested nao, wewe imagine anaingia Bar na mrembo lakini hata bia anataka anywe za kumboom mwenye Bar ili usiku wakipitisha muda wakufunga asiwaletee Defender.

mbna ndo wanaosumbua dada ze2 full kuwagonga ngozi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom