Namna Gani Mna MENTION members kwenye post??

Preta ukipewa Muhogo na Mlachake naomba unigawie na mie, nina hamu kweli

hivi eeh....ngoja nikauchukue....
tatizo la Mlachake anaunguza sana akichoma......hajui kuchoma taratibu....
sharti la muhogo...uchomwe taratibu tena na moto mdogo.......
 
hivi eeh....ngoja nikauchukue....
tatizo la Mlachake anaunguza sana akichoma......hajui kuchoma taratibu....
sharti la muhogo...uchomwe
taratibu tena na moto mdogo.......

Yaani Preta ushawahi kuonjeshwa mhogo uliochomwa na mtaalam.

Kabila letu ni wataalamu wa Kuchoma mihogo.

NimekuPM Contact na sehemu utakaponikuta. Ule halafu ukamhdithie bombu
 
Last edited by a moderator:
Yaani Preta ushawahi kuonjeshwa mhogo uliochomwa na mtaalam.

Kabila letu ni wataalamu wa Kuchoma mihogo.

NimekuPM Contact na sehemu utakaponikuta. Ule halafu ukamhdithie bombu


Ha! mie sitaki kuhadithiwa bana, nataka ale anibakshie, au kama ipo mingi nami niijie, lakini usiunguze basi, utaharibu utamu
 
achana na Preta, njoo kwangu nikueleweshe coz Preta kashapata wengine wa kuwaelewesha na wameahidiana kupeana mihogo. kama vipi uliza swali lolote kuhusu mhogo ntakupa bure pilipili kwa mbali Madame B.

nini wewe.....kumbe pilipili.....huna hata limao.....
muhogo shurti pilippili na limao ndo wanoga....
. dubu bana....
 
Last edited by a moderator:
Hi!
Ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya. Naombeni elimu kidogo namna ya ku-mention member kwenye post, mimi nashindwa lakini naona wenzangu mnaweza. Mnafanyaje??

Kama hivi kaeso ?? Kama ndivyo rejea post ya Invisible!!! Bandanyisha "@" na nameyake then litatokelezea!
 
Last edited by a moderator:
Asante mpenzi Preta nimekuelewa nami ilikuwa inanipa shida.

Nimefurahi sana kama wewe kaeso, Katavi na Preta mmeelewa hii ki2 manake ilinilazimu nifanye maombi kwa nguvu sana ili muelewe sababu ingelikuwa ni aibu si kwenu tu bali kwa Taifa nzima kwa watu ambao wanajiita ni magreat thinkers kutoelewa kitu kidogo kama hiki. Bwana awatie nguvu na awazidishie uelewa zaidi!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom