Namna bora ya kupokea simu yenye zengwe.

Jamani kuacha mpenzi wa nje kazi kweliii ni kuwa msanii tu full stop
unasevu majina ya wasichana kwa majina ya wavulana mfano jane we unasevu john mlevi. Akipiga tu unamwambia waifu hiyo simu usiipokee ukipokea tu mi naondoka huyu jamaa ni msumbufu sana atakuwa keshalewa au ka vipi izime simu yenyewe mi sitaki kutoka
Ehhhhhh MZAMBIA WEWE MTAALAMU MKUU NIMEKUBALI.....HIYO IMETULIA.
 
Jamani kuacha mpenzi wa nje kazi kweliii ni kuwa msanii tu full stop
unasevu majina ya wasichana kwa majina ya wavulana mfano jane we unasevu john mlevi. Akipiga tu unamwambia waifu hiyo simu usiipokee ukipokea tu mi naondoka huyu jamaa ni msumbufu sana atakuwa keshalewa au ka vipi izime simu yenyewe mi sitaki kutoka

Noted.
 
Vipi akisema ngoja nipokee nimwambie kuwa mwenye simu katoka ila acha ujumbe nitamfikishia?

SASA NA WEWE UTAMRUHUSU AIPOKEE HUJITAKI AU????? AKIJARIBU KUIPOKEA, UNATOKA KWA SPIDI YA AJABU NA KUICHUKUA SIMU????
eeeeh eeeeh kumbe je sasa ufanyaje,kufumaniwa kubaya ati??????
 
Jamani kuacha mpenzi wa nje kazi kweliii ni kuwa msanii tu full stop
unasevu majina ya wasichana kwa majina ya wavulana mfano jane we unasevu john mlevi. Akipiga tu unamwambia waifu hiyo simu usiipokee ukipokea tu mi naondoka huyu jamaa ni msumbufu sana atakuwa keshalewa au ka vipi izime simu yenyewe mi sitaki kutoka

Aaaah wapi, labda mkeo ndo atadanganyika na gea hizo... tena design atakuwa sio mtoto wa mjini... mi hunidanganyi na gea hizo hapo....!
 
JIBU: Naomba nikupigie baadae mkuu naendesha gari au niko katikati ya mkutano au niko katikati ya watu wengi, au niko hospitali au niko polisi au bank au chooni au niko popote ambapo simu si karibishwa
 
Aaaah wapi, labda mkeo ndo atadanganyika na gea hizo... tena design atakuwa sio mtoto wa mjini... mi hunidanganyi na gea hizo hapo....!
inamaana wewe shemeji unamwamini sana?hajakudanganya?
 
mshika mawili mmoja humponyoka,bora kuwa moto au baridi kuliko kuwa vuguvugu!kitu gani asichopata kwa mmoja akaridhika?kama kuna kitu anakosema si amwambie au kama kuna kitu hakijui si amfunze?mwambie aache kucheze watoto wa wenzie kama vipi awaacha woote waendelee na maisha yao.
 
mshika mawili mmoja humponyoka,bora kuwa moto au baridi kuliko kuwa vuguvugu!kitu gani asichopata kwa mmoja akaridhika?kama kuna kitu anakosema si amwambie au kama kuna kitu hakijui si amfunze?mwambie aache kuchezea watoto wa wenzie kama vipi awaacha woote waendelee na maisha yao.

Habari ya asubuhi P?

Umeshakunywa Chai? Mbona mkali hivyo leo?
 
waambie marafiki wa kiume wakuandikie meseji za mapenzi. Mwambie mpenzi wako apokee. kataa then mwambie ampigie huyo mtu.
 
Jamani kuacha mpenzi wa nje kazi kweliii ni kuwa msanii tu full stop
unasevu majina ya wasichana kwa majina ya wavulana mfano jane we unasevu john mlevi. Akipiga tu unamwambia waifu hiyo simu usiipokee ukipokea tu mi naondoka huyu jamaa ni msumbufu sana atakuwa keshalewa au ka vipi izime simu yenyewe mi sitaki kutoka

:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh: kazi kwelikweli!!!!!!!!
 
Heri ya mwaka mpya.
Naelewa wana JF wote ni watu safi kila mtu ana MPENZI wake mmoja tu na wengine hawana kabisa.
Lakini unamshaurije mtu ambae atapigiwa simu na mpenzi wa nje wakati yupo na mpenzi wake wa siku zote?. na kwa kweli mpenzi wake alie nae wakati simu inapigwa ni mkorofi.
JE?
1. AIPOKEE SIMU KWA KUTUMIA BUTTON NYEKUNDU???...AIZIME??
2. AIPAZE SAUTI KWA KUMUULIZA ALIEMPIGIA '' MBONA SIKUSIKII????''
3. AIACHE SIMU ILIIIIE? HADI IKATIKE YENYEWE?
KUNA JAMAA HAPA UGOMVI NA KUDUNDANA NI KILA SIKU.

Majibu uliyopata yanakinzana na ushuhuda + answers that reflects personal experiences waliyotoa wadau. I mean yanakinzana na italicized red sentence kama ulivyoiandika!
 
Wazinzi, Waasherati, Waongo, Walevi na wote watendao maovu, hawatauona Ufalme wa Mbinguni!
 
Back
Top Bottom