Tatizo la Mtatiro,hajui kupokea ushauri,aliupinga sana mswada huu,lakini wake wanaukubali,sijui yeye atasemaje.
julius mtatiro. Heshima kwako kaka yangu. Pengine ni mtizamo wangu tu. Labda nimepotoka. Vyovyote iwavyo. Lakini kwa muda mfupi niliokaa karibu na wewe. Kwa namna nilivyouona msimamo wako na mapenzi yako kwa watanzania. Nikisikia uko cuf. Na nikifuatilia michango ya wabunge wa cuf bungeni kuhusu suala la katiba. Naweza pata picha kuwa weledi wako upo katika majaribu makubwa. Nasubiri maoni yako.
Julius Mtatiro. Heshima kwako kaka yangu. Pengine ni mtizamo wangu tu. Labda nimepotoka. Vyovyote iwavyo. Lakini kwa muda mfupi niliokaa karibu na wewe. Kwa namna nilivyouona msimamo wako na mapenzi yako kwa Watanzania. Nikisikia uko CUF. Na nikifuatilia michango ya wabunge wa CUF bungeni kuhusu suala la Katiba. Naweza pata picha kuwa weledi wako upo katika majaribu makubwa. Nasubiri maoni yako.
mtatiro ni msomi na amesoma alama za nyakati... siasa uchwara za cdm hazifanani kabisa na mtu kama yeye ... btw kuna thread alikuja kuwajibu 1-10 kwa nini ahami cuf na haitatokea yeye kwenda chadema ... ukabila... udini... kuchukua posho na kukaa nje ya bunge .. maandamano yasiokuwa na tija .... etcl
uongo,hajawahi kusema hayo. Acha ushabiki wa kijinga ndugu.
kwahiyo hela zetu zinapotea bure kwa wabunge wetu kwenda nje ya bunge wakati bunge liko kwenye kikao na kupiga stori za mipira wa Simba na Yanga huku wakisubiri posho? Nalog off
mtatiro ni msomi na amesoma alama za nyakati... siasa uchwara za cdm hazifanani kabisa na mtu kama yeye ... btw kuna thread alikuja kuwajibu 1-10 kwa nini ahami cuf na haitatokea yeye kwenda chadema ... ukabila... udini... kuchukua posho na kukaa nje ya bunge .. maandamano yasiokuwa na tija .... etcl
Ahsante kwa link nimejionea mwenyewe.Nalog off
hebu msome hapa does he look like some one ambaye atakuja kuvaa hayo mangwanda.... the guy he is smart enough kuona CDM inamwelekeo gani .. btw SUGU album yake lini anazindua - nataka nikasikie jinsi wakitukana kwenye stage
Mimi ni CUF kwa kuwa CUF ndiyo yenye visheni – Mtatiro « Haki Sawa kwa Wote
Tatizo CHADEMA mnalazimiasha watu waamini kila kitu mnachoamini nyie Itatiro anaitikadi zake na CUF hivyo si lazima wakubaliane na kila chama kingine kinachoamini. Itatiro nakueombea heri upambane kwa staili yako na si kwa staili ya wanakutukana kuwa unauchu wa madaraka kama mmoja wahao hapo juu alivyocomment. Angalia vyema fuatilia vyema utagundua hawa wandugu wanafukuzia utawala badala ya kuwatumikia wnanchi.

Yaani kwa kauli zako hizi kama NI cuf UMEKWISHA HATA UWEZO WAKUFILI HUNA KABISAA!kweli Chadema wapo kama mwanamke malaya kila bwana anamtaka, Cuf ni chuo cha siasa kimetoa viongozi wengi waliokwenda ccm na leo ni viongozi wakubwa, mf. Akwilombe-KATIBU WILAYA NYAMAGANA. DUNGA- KATIBU-KITETO, KINGA-KATIBU KIGOMA MJINI, CUF ni chama tofauti na chadema kina matawi na chadema kina tegemea zaidi maaskofu na mapadri, vinginevyo hamna chama.
siasa za kitoto kama za Nape!Safari ya chadema Ikulu imekuwa na mtazamo wa tofauti pale baada ya kada mashuhuri kushawishika kulifikiria hilo, hakika kuishi kwingi kuona mengi ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni.