Nami natafuta

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,216
113,519
Staki kuzubaa miye. Nami natafuta. Natafuta mwanamke ambaye tutakuwa marafiki kwanza halafu polepole kuhamia kwenye uhusiano wa kimapenzi.

Papara staki. Nataka kwenda tartiibu.

If interested PM me. Serious inquiries only. Asanteni.
 
Jasiri
Jasiri haachi asili,
weka vigezo bana, warembo wajimwage,
ila wewe unayeanza na urafiki utakuwa na kale kajimchezo ka kuchakachua na kutokomea kusikojulikana
 
Last edited by a moderator:
wewe ndio una hatari zaidi shosti, ukienda ndani ukakutana na guberi a.k.a fataki?

Mokoyo wewe umeanza lol
usiwaonee wageni sana mmmhhh.

vipi mambo lakini ???
maandalizi ya x-mass yanaendaje??
 
Staki kuzubaa miye. Nami natafuta. Natafuta mwanamke ambaye tutakuwa marafiki kwanza halafu polepole kuhamia kwenye uhusiano wa kimapenzi.

Papara staki. Nataka kwenda tartiibu.

If interested PM me. Serious inquiries only. Asanteni.

endelea kuwa Jasiri ka Jina lako ndugu yangu..
utapata tu...
lakini hujasema unataka nini kwa huyo mwanamke... hata ungesema umri wako na umri wake uwe kati ya miaka ipi
labda hiyo ingesaidia kidogo (just a suggestion)
 
Mokoyo wewe umeanza lol
usiwaonee wageni sana mmmhhh.

vipi mambo lakini ???
maandalizi ya x-mass yanaendaje??
Nawatahadharisha tu mdada
Aisee kuna pongezi zako nimeziweka kule kwenye topic moja ebu tembea hapo, unajua nilikuwa sijatambua spiidi yako ni kali kiasi hiki
Maandalizi ya sikukuuu yankwenda vizuri sana, sijui wewe mrembo wetu
 
mmmhhhh utawafanya wageni wahamie kwenye siasa lol
mmmmhhh na mi hiyo sitaki na taka wabaki hapa lol
asante sana Mkuu nimeona na nimesha kujibu ....

mie namshukuru Mola so far so good....

sasa hizo kachumbari, pilau, unakula mwenyewe hunialiki...
maana mi nina viazi tu lakini karibu...:party:
 
Staki kuzubaa miye. Nami natafuta. Natafuta mwanamke ambaye tutakuwa marafiki kwanza halafu polepole kuhamia kwenye uhusiano wa kimapenzi.

Papara staki. Nataka kwenda tartiibu.

If interested PM me. Serious inquiries only. Asanteni.

Kumbe tupo wengi JF kwa lengo hilo eeeh! Sasa watatutosha kweli? Ila mi natafuta mwanamke wa kuoa si kwa ajili ya uhusiano wa kimapenzi pekee.
 
Nawatahadharisha tu mdada
Aisee kuna pongezi zako nimeziweka kule kwenye topic moja ebu tembea hapo, unajua nilikuwa sijatambua spiidi yako ni kali kiasi hiki
Maandalizi ya sikukuuu yankwenda vizuri sana, sijui wewe mrembo wetu

UKIMUONA PANYA ANAMCHEZEA PAKA UJUE SHIMO LIKO KARIBU

nimependa hii uanikumbusha shule ya msingi..lol
unajaribu kupigana na mtu mkubwa zaidi yako ..
lakini unasubiria marafiki zako wote wako hapo..
au ni njia ya mwalimu ..ili akikupiga tu mwalimu amuone hahahah lol
na kuna vichaka vichaka..
 
Staki kuzubaa miye. Nami natafuta. Natafuta mwanamke ambaye tutakuwa marafiki kwanza halafu polepole kuhamia kwenye uhusiano wa kimapenzi.

Papara staki. Nataka kwenda tartiibu.

If interested PM me. Serious inquiries only. Asanteni.

kidoooogo....unetumia ka-busara!!
 
duuuh!kweli sikuhizi mambo yako very simplified.unatoa tu tangazo then unasubiri ajilete,safi kweli
 
Mi naona tumwombe invisible aanzishe public forum nyingine ya watu wanaotafuta...
kwani wakiweka hizi hapa kwenye MMU watu wengi hawachukulii seriously.....
(Just a Suggestion )

AD

Good idea afrodenzi, Natabiri JF kuwa bonge la familia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom