Nami naja jamvini jf,mnikaribishe kwa ukarimu

Emeka Onono

Senior Member
Jul 3, 2011
114
15
Hod jf,mm c mgen sana wa kusoma threads za jf hasa mmu na job vacancy forums,nimeamua kujiunga il nami nipate fursa ya kuchangia mada za humu ndan,mnipokee wandugu
 
Hod jf,mm c mgen sana wa kusoma threads za jf hasa mmu na job vacancy forums,nimeamua kujiunga il nami nipate fursa ya kuchangia mada za humu ndan,mnipokee wandugu
Karibu sana, ila huwa tunakaribisha wageni kwa BAN
 
Hod jf,mm c mgen sana wa kusoma threads za jf hasa mmu na job vacancy forums,nimeamua kujiunga il nami nipate fursa ya kuchangia mada za humu ndan,mnipokee wandugu

Mbufu.................karibu sana,............................jina lako ni zuri sana kwani..............ukilitamka kwa nguvu na kwa haraka mara moja, ghafla.......................................,unaweza (ukamkwaza,ukashamshawishi,ukamuogopesha,ukamchekesha au ukamsababishia) jirani yako kama anakusikia.............................................................., nasema hivyo kwani nimejaribu.........................................,hebu jaribu na wewe uone.................jina lako limenifanya niikumbuke ile thread ya majina wana-JF na maana zake..............................hata hivyo karibu sana..........................,unatokea wapi mbufu? akina mbufu wengine huko hawajambo? mbufu hoyeeeeeeee
 
Back
Top Bottom