Namhusudu sana MBOWE!!

Mbowe is NOT our focus,neither Slaa is!
Our focus is to build strong Cdm as an institute,which will be able to self-run itself for the betterment of our pretty country,TANZANIA.
Huyo mtoa hoja anataka kutuondoa kwenye focus. SLAA is our target; no matter what...
 
peoplez power nilianza kuisikia kwa mbowe mwaka 2000 wakati anagombea ubunge hai.

Hilo halina ubishi, ni yeye ndo aliileta peoplez power, na ni yeye aliyegeuza combat kuonekana vazi la cdm.
 
kweli ni kiongozi mzuri aendelee hivyo, ila demokrasia ndani ya chama iendelee na viongozi waendelee kuchaguliwa kila baada ya muda kama katiba ya chama inavyosema. wagombea wajitokeze wakati wa uchaguzi na wachaguliwe kuliko kuanza kujinadi miaka mingi kabla, hii inawafanya waache kushughulikia matatizo ya wananchi na badala yake wanajikita kwenye kampeni za kusaka uongozi. aluta kontinua chadema.
 
Jamani CHADEMA ni taasisi ya wasomi inayopambana na taasisi ya vihiyo wa CCM. Hivi unaweza kufikiri anayepata ushauri kutoka kwa mtu kama Prof. Baregu ana hekima kiasi gani? Long live FEM.
 
We understand him as a smart guy but we'll never forget that Slaa has good performance records in his life. If you don't know investigate in your own. So, in general we can say they matched up and that is what we see. So, don't be biased by stating his only performance. Most of the issues like Bendera and so forth must have been discussed before being approved so, it might not have been his entire idea
 
Mbowe is the kamanda wa ukweli, much tanx kamanda Mbowe kwa kutuanzishia safari arumeru na leo wana CDM tunafurahia.
 
mbowe anafaa sana kwa kweli ,tuombe mungu chama kiendelee kupata viongozi wazalendo ili tuchukue nchi 2015 na kuleta mabadiliko tunayo yakusudia ambayo naamini hata ccm wenyewe watafurahi yakitokea japo kwa aibu kubwa
 
data zina mbeba na the guy he's analytical too

ila ubunifu Mbowe funika bovu

kuanzia opereshen Sangara,vazi,na wanachokiita udikteta kusimamia yanayopitishwa na kamati

This time they have come up with MOVEMENT FOR CHANGE (M4C)
 
Mungu awabariki makamanda wetu i.e Mbowe, Slaa, Lissu, Lema, Mnyika, Zitto Mdee na wengine wote nisiowataja, kwa kazi nzito ya mapambano, na Mungu amponye haraka kamanda Kiwia aliyekatwa mapanga na wahuni wa ccm.
 
Huyo mtoa hoja anataka kutuondoa kwenye focus. SLAA is our target; no matter what...
Hivi unadhani kila mwanachadema anamkubali Slaa? Halafu hoja ya Slaa na Urais umeileta wewe, hapa mimi sijadili mambo "yenu" ya urais mimi namtazama Mbowe kama kiongozi wa chama cha siasa aliyekikuta kikiwa kinaitwa chama cha wachaga mpaka sasa na wakerewe nao wamo!!
 
chama ni chetu sote na sote tuna nafasi sawaaa. pamoja tujenge chamaa akitokea yoyote anataka kutuharibia chama tutamng"oa kwenye chama awe na ama nani lazima katiba ifwatwe.
 
Alianzisha na kuongoza operation sangara, ambayo imekuwa msingi mkubwa wa kupanua na kuimarisha chama.
Amebuni na kuanza akuva magwanda ya makamanda hadi kieleweke.
Ameanzisha kauli mbiuya peoplesssssss......................powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr.
Mungu amtangulie kuliongoza jahazi hili hadi ukombozi wa taifa zima la Tz.
 
Hakika mimi namzimikia huyu Kamanda Kivuli cha kamanda MBOWE kinamtishia kila Mtu wa Magamba ukianzia na JK mwenyewe. Akitangaza maandamano ya kusema ONDOKA JK nakuhakikishia hali itatisha, na itatimia. MBOWE ni mbunifu yuko IMARA. Anaweza kuwa rais na kuleta maendeleo ya dhati
 
Ukumbuke pia kuwa Mbowe amepita katika kipindi kigumu sana. Ila kigumu zaidi ni kifo cha Kamanda Wangwe ambaye walikuwa hawaelewani. Lakini bado alienda Tarime na kumnadi mgombea wa CHADEMA.
 
Nakubali bila ubishi kuwa Mbowe ni kiongozi mzuri, mwenye vision na mtendaji mzuri lakini mjue kwamba ndivyo inavyotakiwa kiongozi yeyote awe. Tusilinganishe viongozi wenye sifa za uongozi na vihiyo wanaoenda kuganga njaa kwenye siasa.

Lakini laima mjue kuwa mafanikio ya Mbowe yanatokana na kuwa na timu ya wasaidizi makini na wasomi pamoja na mfumo mzuri wa CDM ulioasisiwa na waanzilishi wake kina Mzee Mtei. Mfumo wa Kidemokrasia kama jina lenyewe ambao hauruhusu udicteta. Mfumo ambao Mwenyekiti anaongoza kwa katiba na maamuzi ya vikao halali.

Huu mjadala usije ukatupeleka kuwachonganisha viongozi wetu kwa kuangalia ni yupi zaid. Kila mmoja ana nafasi yake katika kujenga CDM kama taasisi na sio kiosk cha mtu mmoja.
 
Hakika mimi namzimikia huyu Kamanda Kivuli cha kamanda MBOWE kinamtishia kila Mtu wa Magamba ukianzia na JK mwenyewe. Akitangaza maandamano ya kusema ONDOKA JK nakuhakikishia hali itatisha, na itatimia. MBOWE ni mbunifu yuko IMARA. Anaweza kuwa rais na kuleta maendeleo ya dhati
Ni kweli ana uwezo lakini ili uwe raisi ni mpaka watanzania wakukubali. Mbowe alishagombea uraisi na wala hakumfikia Mrema wakati huo. Hivyo suala la ni nani anagombea ndani ya chama lazima liangaliwe kwa mapana zaidi. Slaa aliongeza sana imani ya watanzania kwa CDM.
 
Back
Top Bottom