Name 10 things the government does well

jane_000

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
547
43
It’s an important question, for skepticism toward all government(rather than reform of bad government) is not only common, but at the root of a couple of major political outlooks. And because it’s important, it seemed worth a post of its own.
 
Medicaid: private sector insurance companies make money by ditching their customers when they get very sick. Medicaid picks up the castoffs
 
1.maintance of peace and security
2.provision of freedom of speech! leo hata rais anatukanwa
3.improvement in infrastrcter
4.improvement in sports particulary football
5.technological advancement, mambo ya teknohama
6.transparency,leo mikataba tunaijadili bungen mpka tunagundua baadhi ina matatizo
7. stabilization of our currency, najua wengi wataponda bt dola nw inarange 1586
 
1. Kuunda kamati. 2. Kujal afya za wakubwa matbab nje 3. Kupachika vidosho kweny vit maalum. 4. Kuagza magar yenye ubora wa juu kuhakksha wabunge wanasafr salama. 5. Kutumia kod za watz robo 3 viongoz roho wananchi. Aaaaargh!
 
1.maintance of peace and security
2.provision of freedom of speech! leo hata rais anatukanwa
3.improvement in infrastrcter
4.improvement in sports particulary football
5.technological advancement, mambo ya teknohama
6.transparency,leo mikataba tunaijadili bungen mpka tunagundua baadhi ina matatizo
7. stabilization of our currency, najua wengi wataponda bt dola nw inarange 1586

huna tofauti na mwanaasha j.kei
 
Moja JK ananifurahisha yeye personally. . . Kusomesha watoto wake Tanzania. I don need to know how many are they, but at least all those I know they ve studied or still studying here. St Patrick, Al Muntazar, Mbeya of course na Feza girlz
 
1.rais kupiga picha na watu maarufu
2.rais kusafiri mara kwa mara kuliko hata marubani
3.kujiongezea posho za wabunge
4.kudegrade uchumi wa nchi leo hii hata rwanda anatushinda kwenye kuboresha uchumi
5.kudharau mgomo wa madktari mpaka pale watanzania walipoanza kufa
6.kununua ma vx v8 mengi.huwezi pita mjini bila ya kukutana nayo kama 50 hivi
7.kufaulisha wanafunzi wa darasa la 7 ambao hawajui kusoma wala kuandika
8.kupandisha bei ya umeme maradafu huku wakijua hilo litapandisha bei ya vyakula n.k
9.kutowaadhibu mafisadi
10.kuchaguana kwenye nafasi nyeti za uongozi kwa kutumia vigezo vya ushikaji na si utendaji wa mtu
 
1.maintance of peace and security
2.provision of freedom of speech! leo hata rais anatukanwa
3.improvement in infrastrcter
4.improvement in sports particulary football
5.technological advancement, mambo ya teknohama
6.transparency,leo mikataba tunaijadili bungen mpka tunagundua baadhi ina matatizo
7. stabilization of our currency, najua wengi wataponda bt dola nw inarange 1586

Unajua maana ya PEACE?

Labda umezaliwa miaka ya 90 wewe otherwise usingesema upupu huo kuhusu football. Na ht michezo mingine imeingia dosari, hakuna ridha tena, na mabondia tuliokuwa tunajivunia sasa wamekuwa na kelele za hapa nyumbani tu.

Freedom of speech!
(Rais kutukanwa ni kushuka kwa heshima yake na sio freedom of speech)

Kitu pekee serikali imefanya vyema ni kuwasafisha wanaochafuka kwa kashfa za rushwa. RADA na JAIRO ni mfano mzuri
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom