NAMDAI Nassary eneo kubwa la shamba

Mkuu thread yako ni nzuri ila badili heading!maana vilaza wa magamba wao uwa wanakimbiliaga kusoma heading bila kupitia contents,na nafikiri umeshajionea mwenyewe!

Hakuna haja ya kubadilisha hiyo ni njia nyingine ya kifasihi ya uandishi ikiwa ni pamoja na kuvutia wasomaji kwa mfano mimi nilikuwa napita tu lakini hiyo heading imenilazimisha kufungua thread. big up mwandishi endelea kudai haki yako kwa njia hiyo uliyoichagua maana ndiyo bora "VOX POPULI VOX DEI"
 
Mtoa mada nimeipenda sana heading yako. Inahitaji wale watu wenye akili za kuwasha chemli mchana na kupita nayo sokoni, kuweza kuielewa. Simple mind wataiona haiendani na habari yenyewe, wakidhani ni kesi za kudhulumiana ardhi. Great minds watasoma mstari kwa mstari na kuja na wazo kuu. Wana JF hivi ardhi ya Tanzania ni mali ya nani? Wanawakilishwa na nani? Inapotokea ardhi kubwa inahodhiwa na wachache na kuwa misused ni nani atakuwa kimbilio la wengi hawa? Na ni kwa namna gani watapatiwa ufumbuzi wa tatizo lao? THIS IS ALL ABOUT THIS HEADING. Big up Ritts.

shule mwana
 
ritts atakuwa na shule kubwa
 
wameru hampaswi kung'ang'ania kaeneo kenu kadogo kenye rutuba. Tanzania yote ni yenu kwa nini msitawanyike? hata Nasari akifanikisha kuwapa hako kashamba kwani hamzaliani? Meru Na Moshi kunahitaji kuangaliwa. Mungu ametupendelea Tanzania hatupaswi kugombania Ardhi.
 
Hakuna haja ya kubadilisha hiyo ni njia nyingine ya kifasihi ya uandishi ikiwa ni pamoja na kuvutia wasomaji kwa mfano mimi nilikuwa napita tu lakini hiyo heading imenilazimisha kufungua thread. big up mwandishi endelea kudai haki yako kwa njia hiyo uliyoichagua maana ndiyo bora "VOX POPULI VOX DEI"

Ulikuwa unapita kuelekea wapi mkuu?
 
Umejiunga na JF tar 28/feb/2012 ili kutufahamisha mambo yenu binafsi na Nassary?.
Hata hiyo haimzuii Nassary kuwa Mbunge wa Arumeu.

*******weeeee badae Utapakua tu.
Mkuu jitahidi kusoma thread nzima ndio ucomment,humu ndani watu wengi wanakosa umakini huu
 
Hakuna kubadili thread wavivu wa kufikiri hakika leo wamejitokeza ni wengi mno
 
Kumbe ni rahisi namna hii kujua vilaza wa jf.
Ni vema topic zote zingekua zinaletwa kwa mtindo huu ili tuchangie watu wachache wenye kuelewa maudhui ya mleta mada.

Vilaza wa jf oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Nilivyosoma tu heading nikawa na majibu tayari jibu langu lilikuwa umeona kapitishwa kuwa mgombea chadema ndio ukanza kukumbuka madai au ni propaganda za magamba lakini baada ya kusoma content tu nikagundua kumbe mwandishi ameona Nassary ndio mkombozi wake na hii inathihirisha kuwa chadema ni kimbilio la wanyonge big up Mwandishi.
 
Back
Top Bottom