Namba za Magari zafikia code ya T xxx CCM

ni kweli mkuu siasa siyo chuki,lakini kwa hali tuliyofikishwa na ccm ni kosa kubwa kusajili gari kwa
namba zinazoitangaza ccm.labda uwe kada wa chama, hivyo aliyetoa tahadhali amefanya vema ili
kwa mtu asiyeipenda ccm asubiri hizo namba zipite kwanza.

lakini t xxx ccm, haimaanishi chama cha mapinduzi tanzania.
 
ningekuwa nauwezo, ningewabalisha watu tupu zao kuwa na rangi au alama za chama fulani hapa tz! alafu tuone je? watazikata na kuzitupa, mana sasa kama siasa ndo zinafika mpaka kwenye namba za magari mmh! ila si kuna namba za kusajili gari unalipia sijui mil5 kwa miaka kadhaa, sasa kama mtu unasiasa zako hata kama unaitwa john basi wewe unatupia T xxx MNYIKA, au T xxx NAPE N.K au Txxx KINGWAGALA yani wewe tu na roho yako, izi za walala hoi tuachieni tu tuendelee nazo msituchafulie hali ya hewe, mana wengine kazi zao kuchora namba za magari msiwazibie riziki zao bure, kwa roho zenu chafu.
 
Naunga Mkono hoja Mia kwa mia, mimi nimefika mbali zaidi sasa hivi sifa za vigezo kwa mwanamke upande wangu asiwe Gamba, kama ni Gamba huyo hana nafasi kwangu hata awe mzuri kiasi gani.

Vipi mama'ko na bibiya'ko nyumbani?
 
Habari za masiku wana JF? kwa mwana JF mwenye mapenzi mema na Tanzania taarifa hii si ya kupuuza! endapo unataka kusajili No.ya chombo cha motoitakubidi usubiri kwa muda hadi No. hizi zenye historia ya chama kilichotufikisha hapa tulipo ziishe ina maana mpaka vyombo 900 visajiliwe!!! kwani No.za usajili zimefikia T xxx CCM. utakujashindwa kuliuza/kuendesha au laweza kukuletea MATATIZO! SHIME SHIME TUZIGOMEE No.hizo!

hata usiogope, hadi kufikia 2015 zitatawala Txxx CDM..
 
mi nachojua
plate namba si ushabiki wa chama ni series za usajiri, hivyo labada ushauri kwa CDM,CCM na CUF na chama chenye herufi tatu(XXX)waweke Order TRA kwa namba hizo ili tujue namba moja ni ya Mwenyekiti wa Chama, namba ...ya ..... na Namba 900 ni ya Mjumbe au Mbunge wa chama husika...

baada ya hapo magari hayo yasiwe yanatembea kipindi cha maandamano, migongano ya kiitikadi ya vyama maana ipo siku yatachomwa moto
 
Habari za masiku wana JF? kwa mwana JF mwenye mapenzi mema na Tanzania taarifa hii si ya kupuuza! endapo unataka kusajili No.ya chombo cha motoitakubidi usubiri kwa muda hadi No. hizi zenye historia ya chama kilichotufikisha hapa tulipo ziishe ina maana mpaka vyombo 900 visajiliwe!!! kwani No.za usajili zimefikia T xxx CCM. utakujashindwa kuliuza/kuendesha au laweza kukuletea MATATIZO! SHIME SHIME TUZIGOMEE No.hizo!
Yakipita hayo 900 lazima litafikiwa la CDM kwa hiyo ngoma draw
 
upofu mwingine mbaya sana, bora kipofu wa macho kuliko moyo. Yani unachukia na kupenda bila kuwa na mipaka.
Hao unaowaona wa maana leo wanaweza kukugeuka cku moja, usiusemee moyo wa mtu.
Ushabiki wa kibubusa mbaya sana.
 
Mi nimeziacha gari zangu mbili kwanza mpaka hizi namba zipite,

Nipo tayari hata kulamba storage ya amount yoyote kuliko ku-own gari za namba hizi zilizolaaniwa!!!
 
Naunga Mkono hoja Mia kwa mia, mimi nimefika mbali zaidi sasa hivi sifa za vigezo kwa mwanamke upande wangu asiwe Gamba, kama ni Gamba huyo hana nafasi kwangu hata awe mzuri kiasi gani.

Wacha ushabiki je wazazi wako wakiwa magamba utafanya je?
 
Kweli Wa TZ wengi tuna matatizo ya ki-saikologia. Namba za magari zina uhusiano gani vyama au timu? Mbona kule kwetu kuna jina la ukoo la MB**O, na hakuna anayejali? kile kifaa cha kutwangia kinaitwa K**U kwa lugha ya kwetu na hakuna anayejali? Kuna maneno mengi ambayo unaweza kuyatafsiri kwa lugha nyingine inategemeana na akili yako. Huyu aliyesema neno T xxx TIA ni tusi hiyo ni tafsiri yake lakini neno TIA lina maana yake ktk kiswahili. Hizo ni namba za gari na miririko wake bila shaka kila mwenye akili anaufahamu, kwa atakayetafsiri kivyake shauri yake.
 
Asante kwa taarifa, maana nilikuwa katika harakati za usajili, nime hold kwanza ili LAANA ipite. naomba zikipita hizo CCM, nistueni nisije kujisahau mara naingia kwenye mtego wa haakiiiiiiii....aka CUF
 
Naunga Mkono hoja Mia kwa mia, mimi nimefika mbali zaidi sasa hivi sifa za vigezo kwa mwanamke upande wangu asiwe Gamba, kama ni Gamba huyo hana nafasi kwangu hata awe mzuri kiasi gani.

mimi mwanaume akiwa mwanasi hasa hata akiwa quadribilonea simtaki
 
Asante kwa taarifa, maana nilikuwa katika harakati za usajili, nime hold kwanza ili LAANA ipite. naomba zikipita hizo CCM, nistueni nisije kujisahau mara naingia kwenye mtego wa haakiiiiiiii....aka CUF

usikonde maana ass ishapita kitambo tu..
 
Zikifikia vifupisho vya waliotufikisha hapa pabaya kama t...kik,t...low,t..ros,t..jak,t..was pia tujiandae kuzikataa kwa nguvu zote km laana vile
 
Back
Top Bottom