Daaa, kweli mkuu! Kwenye msafara niliona pia gari ya namba JM nikahisi ni jaji mkuu na lingine ni known ilikuwa namba J. Asante umenitoa tongotongomtendaji mkuu wa mahakama tanzania
I,O ziko ommited purposely kwa sababu zinafanana na nambaT188 DEO mbona sizioni wadau?
I na. O ,hatutumie sababu ya mkanganyiko wa number Moja(1)na sifuri (0)T 2016 IGP
Hivi kuna namba kama T nnn 888 za Tanzania huwa zinatolewa katika mfumo upi?
Wali fyokolewat2015 cdm
Msakili mkuu MahakamaHivi gari namba MMM ni ya kiongozi gani hapa nchini? Tumesimamishwa mahali fulani kupisha msafara wake.
T 666 MBOT 100 bao
t 303 uke
t 412 pua
t 210 kaa
t 624 ona
Watalaam wa hesabu (permutation and combination) watukokotolee namba ngapi za magari zipo kati ya T101AAA hadi T9999ZZZ bila kutumia herufi O na I kwa mtindo wanaotumia TRA..Ni kweli kaka....hii ni kuondoa confusion na namba 0 na 1 ndio maana namba zote zinaanzia 101....hadi 999 na sio 001.....gari ya kwanza kabisa ikiwa T101AAA na ya mwisho hopefully T999ZZZ
Hiyo shughuli ni pevu sana! Lakini plate number zinaanzia T 001 AAAWatalaam wa hesabu (permutation and combination) watukokotolee namba ngapi za magari zipo kati ya T101AAA hadi T9999ZZZ bila kutumia herufi O na I kwa mtindo wanaotumia TRA..