Namba ya gari la Mwenyekiti wa CHADEMA

Wadau,
Kwa kuwa serikali kupitia waziri wa fedha imeruhusu mtu kusajiri namba ya gari anayoipenda na atalipia shilingi milioni 5 kwa miaka mitatu, napendekeza gari la mwenyekiti wa CHADEMA lisajiriwe kwa namba hii:

T 2015 CHADEMA


Hii ni kwa kutumia ubunifu wa mwana JF mwenzetu aitwaye paty.

Nawasilisha.

I concur with you! T 2015 CHADEMA! Beautiful!
 
Badala ya kupendekeza wewe nenda kalipie tu, mchangie chama chenu.

Mkuu kumbe ndo maana sikuoni mjengoni kumbe na wewe unalamba posho za Nepi? Sijui kama Ndago wanajua kuwa wewe ni mwakilishi wa Nepi JF?

Nape usibadilishe majina kila mara!

Mkuu huyu ni yule mropokaji mkuu mjengoni, tunamjua

nadhani ikiwa T 0000 MAGAMBA
itapendeza sana

Kama vile nilimwona nalo Nape pale Lumumba!

Naunga mkono hoja 100%. Itaeneza ujumbe popote inapopita.

Hata mimi.

Nitaenda lipia la mbunge wangu Mwigulu na litaandikwa MN MROPOKAJI

Umemkomesha huyo!

Hapana. Litakuwa na nembo ya ikulu.

Yap!
 
Back
Top Bottom