Namba tano kwenye keypad za simu.

Ndg alama ya 666 inawezekana, vitu vingi ss vinayo DAWA ni kila unachotumia kutakasa kwa DAMU YA YESU iwe salama kwako.
 
unajiaibisha!!
15=1+5=?!!
24= 2+4=?!!

sorry but wewe ndio unaji aibisha ina elekea ume kariri vitu angalia how pple wanao deal na conspiracy wana vyo fanaya mambo.
hyo inaweza kuwa trick ya kukufanaya uci elewe their ways of communication .soma sign n symbols za freemason /illuminati you cant even guess then coz ziko designed kwa akili sana na kwa maficho only members knows then
 
Mark of the beast.
Ukijumlisha mstari wa kwanza wa keypad za simu yako yaani
1+2+3=6.
Then ukijumlisha mstari wa pili pia utapata 6.
4+5+6=15=1+5=6
ukijumlisha mstari wa mwisho pia utapata 6.
7+8+9=24=2+4=6.
Kiji alama kwenye namba tano ni ukamilisho wa namba 666 ambayo ni namba ya Shetani.
Kumbuka tano ndiyo namba ya katikati kwenye simu yako.

Na ukimjulisha za katikati (column wise):2+5+8+0=15=1+5=6 Hence 6666! Meaningless!..lol!
 
Back
Top Bottom