Namajanga mwenzenu msaada wana jf?

LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,123
9,167
Duu hapa nilipo namajanga kibao.

Kiukweli hili ni neno majawapo ambalo kila siku iendayo kwa mwenyezi MUNGU. lazima nilisikie masikion mwangu.
Je wadau neno hili lina maana gani?? Au umekwisha wahi lisikia??
 
Natatizika ni comment vipi !
Na wapi nianzie na wapi niishie.
Hii ni kwakua post yako haujaifungua vya kutosha, ni vema ungejiachia kwa kuweka wazi dhamira yako, tofauti na ulivyofumbafumba maneno.
 
Natatizika ni comment vipi !
Na wapi nianzie na wapi niishie.
Hii ni kwakua post yako haujaifungua vya kutosha, ni vema ungejiachia kwa kuweka wazi dhamira yako, tofauti na ulivyofumbafumba maneno.

mkuu hujaelewa nin hapo??
Lengo langu nikutaka kujua maana ya neno majanga kama watu wengi walitumiavyo.mfano
leo namajanga kibao,mi mwenyewe namajanga ,niondolee majanga n.k

huwa wanamaanisha nin wasemapo neno hilo.
 
Hii lugha ya kiswahili naona inazidi kuwa ngumu kwangu kila kuchapo, hivi hili neno"namajanga" lina tofauti na lile nilijualo la "Nina majanga"?.
 
Duu hapa nilipo namajanga kibao.

Kiukweli hili ni neno majawapo ambalo kila siku iendayo kwa mwenyezi MUNGU. lazima nilisikie masikion mwangu.
Je wadau neno hili lina maana gani?? Au umekwisha wahi lisikia??

hivi kumbe kumekucha...janga ni neno kubwa kidogo...sijawahi kulitumia muda mrefu asee...nadhani njaa au magonjwa makubwa au mafuriko yanaweza kuwa majanga!
 
hii lugha ya kiswahili naona inazidi kuwa ngumu kwangu kila kuchapo, hivi hili neno"namajanga" lina tofauti na lile nilijualo la "nina majanga"?.

nikitaka nitoe comment kama hii, nashukuru mawazo yetu yameshabihiana!
 
mkuu hujaelewa nin hapo??
Lengo langu nikutaka kujua maana ya neno majanga kama watu wengi walitumiavyo.mfano
leo namajanga kibao,mi mwenyewe namajanga ,niondolee majanga n.k

huwa wanamaanisha nin wasemapo neno hilo.

Ok! Huoni sasa umefunguka ? Dhamira imeeleweka.
Ni hivi mimi ningependa nitohoe neno Majanga niseme Matatizo au Mikwazo, najua ndicho ulichokusudia , ni hivi Mh. Lege haya mashida ya kidunia always hua yapo continues and sustainable .
1965 waliokuwepo juu ya tumbo la ardhi wenye matatizo, na mikwazo walikuepo lakini mi na wewe hatukuwepo.
Leo sisi tupo juu ya ardhi tunakutana na Mikwazo yetu na wale wa 1965 hawapo.
Chukulia vitu hivyo ni sehemu ya maumbile havikwepeki.
 
mi nilijua una majanga tukusaidie kumbe unauliza swali aaaaaaaahhhhhh damn!..
 
ana maafa.

kivipi?? Hebu dada vua kidogo ili unishawishi kuelewa mfano utasikia mtu anasema yule dada ni majanga matupu.
,wiki hii imeisha kimajanga majanga. Au imekaa kimajanga majanga sana.

Naenda kumuuzia majanga leo.

Je hili neno MAJANGA ni lugha ya mtaani au ni lugha rasmi??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom