nalitafuta hili ua

cheusimangala

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
2,585
497
nadhani hili ua linaitwa pelagonia.
sina uhakika kama linakua Dar e salaam,naomba kama kuna yeyote ambaye ameona linauzwa mahali Dar es salaam anielekeze.
vile vile naomba nijulishwe maua(sio miti)yafananayo na hili yanayokua Dar es salaam!
natanguliza shukrani!
pelagonia.jpg
 
labda nikutumie mbegu zake ulipande na kukuza mwenyewe unaonaje?sijui km udongo na hali yahewa vitakubaliana.
 
Ua hili linamea dsm bila taabu,ila linaonekana sana mikoa ya Iringa na Mbeya. Huko liko kwa wingi. Una hela tukuletee?
 
Ua hili linamea dsm bila taabu,ila linaonekana sana mikoa ya Iringa na Mbeya. Huko liko kwa wingi. Una hela tukuletee?

mmmh!!!....cheu shost ngoja nitaliangalia kama lipo kuna mahali ipo bustani kama ya Eden...then tutafanya mpango likufikie
 
mmmh!!!....cheu shost ngoja nitaliangalia kama lipo kuna mahali ipo bustani kama ya Eden...then tutafanya mpango likufikie
senkyu shosteri -i cant wait!
ni ua zuri sana pia kuna la pink yake.sijui kama kuna rangi zaidi ya nyekundu na pink!
 
Hili ua ni jamii ya Begonia na sio melagonia. Hua linastawi sana katika maeneo yenye baridi na ndio maana yanapatikana Arusha, Iringa na hasa Mbeya.

Kwa Dar linaweza kuota lakini utoaji wake wa maua huwa ni matatizo na hasa kwa vile mahitaji yake huwa ni kwenye baridi. Ila ziko jamii nyingi ambazo zina majani ya kupendeza na mengine majani yake huwa na vitojo vyeupe (dots).

Jamii nyingi za begonia huwa zinaota vizuri hata ukichukuwa kipande cha jani tu na kukiweka kwenye udongo basi hutoa mizizi. Njia nyengine ni kutumia cuttings.

Vile vile unapopanda upande kwenye maeneo yenye kivuli, yaani isipate mwanga wa jua wa moja kwa moja kwa muda mrefu.
 
mmmh!!!....cheu shost ngoja nitaliangalia kama lipo kuna mahali ipo bustani kama ya Eden...then tutafanya mpango likufikie

Preta,
yaani hata haka katenda kadogo nako unaziba nisipate walau buku hamsini hivi,mimi ningeagiza wachume pale Loleza Mbeya au Iringa girls waniagizie na Sumry au Hekima,wewe umeshaziba tayari. Jifanye hujapata hilo ua nilambe hiyo posho teheteheeeeee
 
Back
Top Bottom