Naliona anguko la Kibanda

A little while ago one of the cream of analytical politics of Tanzania had this to say with regard to the so called Kibanda;




Baada ya mashinikizo, vitisho, vitimbi na kejeli za kila aina kutoka kwa "Mhariri mtendaji" wa gazeti la TanzaniaDaima Absalom Kibanda hatimae Zitto Kabwe ame succumb to the pressure na kuondoa jina lake kwenye kinyang'anyiro cha ugombea wa uenyekiti wa Chadema.

Tukirudi nyuma kidogo na kuangalia mlolongo wa matukio kuelekea Zitto kujitoa, jina la Bwana Kibanda linachomoza mithili ya mnara wa kuongozea meli bandarini.

Huko aki defy obvious principles za conflict of interest Kibanda akishirikiana na "Baba mkwe" mzee Mtei wameweza kum bully Zitto na hata kufikia kujaribu "kumhonga" cheo (kama alivyonukuliwa Zitto mwenyewe).

Kibanda amei aibisha fani ya uandishi, yeye mwenyewe, Mbowe na Chadema kwa ujumla kwenye sakata hili ambapo demokrasia imechinjwa wazi wazi mchana kweupe.

Unless Kibanda anafikiri atafanya kazi TanzaniaDaima maisha yake yote labda ndio amefanya hayo aliyo yafanya lakini kama kutakuwa na maisha nje ya TanzaniaDaima basi what we have seen is just the beggining of the end of Absalom Kibanda.

Time will tell....

Masatu hii thread yako kavu sana haina hoja wala mashiko. Kuwa mahsusi kwenye tafakuri ya Kibanda. Jibu hoja kwa hoja aliyoandika siyo maneno ya kijumla jumla tu. Kwani Zitto hawezi kukosea? Mbona kuna wakati alishabikia ununuzi wa mitambo ya Dowans na JF ilimrekebisha. Nilisoma vizuri habari ya Kibanda na kulikuwa na hoja. Vilevile Maswali Magumu alitoa habari inayomshauri Zitto kwa manufaa ya chama.

Sasa wewe unaona hali ya sasa baada ya mvutano wa uchaguzi wa mwenyekiti ya Chadema kuwa ya kuvutia? Habari ya Kibanda na ya Maswali Magumu (Ansbert Ngurumo) jumapili iliyopita ilikuwa ni ushauri mzuri sana ili Chadema iendelee kuwa imara hasa kipindi hiki cha uchaguzi wa serikali za mitaa.

Kukiko kumchukia Kibanda na kuchafua tu jina lake bila sababu ya msingi, Masatu toa tafakuri ya kujibu hoja kwa hoja. Kwanza toa habari ya Kibanda hapa kuhusu Zitto halafu ujibu hoja kwa hoja. Sote tunajua umuhimu wa Zitto katika vita ya ufisadi tangu Buzwagi, lakini hii haina maana kuwa kukiwa na tatizo asishauriwe. Hiyo Sahihi yako kuhusu Kibanda ninaitafsiri kuwa ni chuki kwake, kwa vile sijaona hoja uliyotoa zaidi ya malalamiko ya juu juu na jumla jumla. Tafadhari tumia JF vizuri.
 
Watanzania,
Mkuu sijui unazungumza madudu gani!
hakuna mtu anayemkataza Kibanda kumshauri Zitto hata kidogo isipokuwa kuja hapa JF kumvua nguo Zitto ukamwacha Uchi kisha mnadai kuwa huu ni ushauri come on noiw..Kisha mtu mwenyewe ni mwajiriwa wa Mbowe na hoja inahusu Zitto kugombea kiti cha mwajiri wake!..

Sisi sio wajinga kiasi hicho mkuu wangu. Kibanda anamjua Zitto vizuri ana wanaweza kutana wakati wowote akitaka iweje hapa JF iwe ndio ukumbi wa kusuluhisha matatizo ya Chadema. Kilichotendeka hapa ni Kibanda kuondoa uaminifu wake wote kwa Zitto na hata kutufanya sisi wengine tuanze ku question uwezo wake wa kufikiria.

Na swala hili lisingekuwa kubwa kama sii Kibanda kuanzisha maduidu yote haya kisha mnataka kudai ati mnakisaidia chama! Upouuzi huu niliosoma humu ndio mnadai kusaidia chama.. duh ama kweli tuna safari ndefu sana.
 
Watanzania,
Mkuu sijui unazungumza madudu gani!
hakuna mtu anayemkataza Kibanda kumshauri Zitto hata kidogo isipokuwa kuja hapa JF kumvua nguo Zitto ukamwacha Uchi kisha mnadai kuwa huu ni ushauri come on noiw..Kisha mtu mwenyewe ni mwajiriwa wa Mbowe na hoja inahusu Zitto kugombea kiti cha mwajiri wake!..

Sisi sio wajinga kiasi hicho mkuu wangu. Kibanda anamjua Zitto vizuri ana wanaweza kutana wakati wowote akitaka iweje hapa JF iwe ndio ukumbi wa kusuluhisha matatizo ya Chadema. Kilichotendeka hapa ni Kibanda kuondoa uaminifu wake wote kwa Zitto na hata kutufanya sisi wengine tuanze ku question uwezo wake wa kufikiria.

Na swala hili lisingekuwa kubwa kama sii Kibanda kuanzisha maduidu yote haya kisha mnataka kudai ati mnakisaidia chama! Upouuzi huu niliosoma humu ndio mnadai kusaidia chama.. duh ama kweli tuna safari ndefu sana.
Tena si ajabu wapo wanaotcomment kwa lugha kali hapa wakati Zitto mwenyewe hata hawajapata kumtia machoni
 
Tena si ajabu wapo wanaotcomment kwa lugha kali hapa wakati Zitto mwenyewe hata hawajapata kumtia machoni

Hii nayo kali kumbe ukimfahamu na kumtia machoni unaweza comment tofauti? MN you can do better than this.....this is low, hakuna substance!
 
Watanzania,
Kibanda anamjua Zitto vizuri ana wanaweza kutana wakati wowote akitaka iweje hapa JF iwe ndio ukumbi wa kusuluhisha matatizo ya Chadema... Upouuzi huu niliosoma humu ndio mnadai kusaidia chama.. duh ama kweli tuna safari ndefu sana.

Mkandara unaingia tatizo lilelile la Masatu la kulalamika bila kuchambua hoja. Zitto ni kiongozi wa kitaifa, ushauri anaopewa inabidi ujulikane kwa watanzania wengi ipasavyo. Hata akikojoa hadharani ataonywa hadharani sababu ni kiongozi wa kitaifa. Vivyo hivyo mafisadi ambao ni viongozi wa kitaifa hata kama wanafahamika wanaonywa na kushauriwa kwa uwazi ili Watanzania wajifunze pia.

Habari ya kusema unasoma upuuzi huo ni mtazamo wako, lakini kauli hii haichambui na haijibu hoja iliyotolewa. Halafu yaelekea Mkandara unajibu kwa hisia, unadhani kuwa Zitto anachukiwa anaytoa maoni juu yake, hapana, kwani alivyoshauri kununua mtambo ya Dowans hakushauriwa hapa JF. Akifanya vizuri tutampongeza hadhari na akikosea tutamshauri hadharani kwa sababu ni kiongozi wa kitaifa, siyo wa familia tu.
 
Tena si ajabu wapo wanaotcomment kwa lugha kali hapa wakati Zitto mwenyewe hata hawajapata kumtia machoni

Wewe umeshamwona? anapendeza? Hii kali ya mwaka, mwalimu nyerere angekuwa hai ingefaa arudie kauli yake kuhusu Kikwete eti ni mzuri, kwa hiyo anafaa kuwa raisi. Kiongozi haongozi kwa muonekano wake, anaongoza kwa maamuzi yake. Hoja hii ni ya kitoto na inaaibisha hasa ukizingatia kuwa JF inaongoza cheche za mageuzi ya fikra.
 
Wakuu; Kibanda hajaanguka, zitto hajaanguka... sasa nani hasa ameanguka?? au ndiyo ukuaji wa demokrasia
 
Wakuu; Kibanda hajaanguka, zitto hajaanguka... sasa nani hasa ameanguka?? au ndiyo ukuaji wa demokrasia
Mkuu kuna kitu hakipo sawa CHADEMA mkuu, na next year ndo itadhihirisha hiyo. CCM napo mambo si shwari, cjui tunaelekea wapi tanzania katika wigo wa siasa.
 
Mkuu kuna kitu hakipo sawa CHADEMA mkuu, na next year ndo itadhihirisha hiyo. CCM napo mambo si shwari, cjui tunaelekea wapi tanzania katika wigo wa siasa.

Kibaya zaidi ni naibu katibu tu ndiye anayesikika halafu wakuu wa meza wako kimya hata kipindi hiki kigumu.... sasa hebu fikiria ukiwapa nchi itakuwaje!!!
 
Kibaya zaidi ni naibu katibu tu ndiye anayesikika halafu wakuu wa meza wako kimya hata kipindi hiki kigumu.... sasa hebu fikiria ukiwapa nchi itakuwaje!!!
Nadiriki kukubali maneno ya mwalim aliposema upinzani wa kweli utatoka CCM.
 
Nadiriki kukubali maneno ya mwalim aliposema upinzani wa kweli utatoka CCM.

kile kibabu bwana kilikuwa smart sana!! Na hilo wana CCM wanalijua lakini watakula wapi??? wakati wengi wao siasa ni ajira??
 
Kibanda,

Unapokuwa reserved katika maisha, inasaidia.

Kwa wale wanaohoji kuhusu makala zako naona wanachanganya na news article, zile za matukio. Kwenye makala mwandishi anachagua stlye ya kutumia, waweza kuhojiana na watu kwa ajili ya kupata facts na mitazamo yao na kuandika makala ukitumia nafsi ya kwanza, inakubalika.

Kwenye makala hatu report kama matukio ya ajali hivyo Mkandara lielewe hilo.

Mwandishi anaweza andika katika mfumo wa maoni, wazo, uchambuzi nk.
 
Mwandishi hajatueleza timeline ya anguko la huyu bwana , je baada ya uchaguzi? maana Jenerali Ulkimwengu alikosa cha kuandika baada ya uchaguzi.
 
Siku ya Jumatano iliyopita tarehe 12.1.2011, Kibanda alitoka na habari katika gazeti la Tanzania Daima kwamba kama Sitta angekuwa waziri kipindi cha waziri mkuu msitaafu Msuya angemfukuza kazi. Akadai pia kuwa Sitta ni mtu mwenye chuki isiyoisha hata kutishia maisha ya watu na familia zao. Zaidi ya hayo Kibanda alidai kuwa wenye mtazamo sawa na Sitta ni wajinga. Alienda mbali zaidi kwa kudai kuwa Sitta hafai kuwa waziri kwa vile ameshindwa kuonyesha uwajibikaji wa pamoja katika baraza la sasa la mawaziri.

Lakini siku ya Ijumaa, 14.11.2011 waziri mkuu mstaafu Msuya alikariririwa na gazeti la Mwananchi kwa habari ndefu kuwa anamwamini sana Sitta kuhusu msimamo wake juu ya Dowans kwa vile ki-taaluma ni mwanasheria na pia ameongoza Bunge la Muungano wa Tanzania. Cha ajabu ni kuwa Kibanda alimwona Sitta kama mtu mwenye chuki zisizoisha huku yeye mwenyewe Kibanda akionyesha chuki za waziwazi dhidi ya Sitta. Kibaya zaidi anatumia hoja dhaifu kuhalalisha chuki yake kwa Sitta. Kwanza hakuna mahala popote ambapo mawaziri katika serikali ya sasa baada ya uchaguzi wamekaa kujadili kama baraza la mawaziri kuhusu hukumu ya ICC kati ya mafisadi Dowans na Serikali ya CCM. Kwa hiyo suala la uwajibikaji wa pamoja halipo kwa sababu mawaziri hawajawahi kukaa na kujadili na kuwa na uamuzi wa pamoja kuhusu hukumu ya ICC. Pili suala kwamba Msuya angemfuta kazi Sitta halina nguvu kwa kuwa hakuna maamuzi ya pamoja ya mawaziri kuhusu suala hilo la hukumu ya ICC. Vilevile, Msuya amemshushua Kibanda pale alipomfagilia waziwazi Sitta kwa kumweleza kuwa ni waziri mwenye uelewa wa mambo kuhusu Dowans na Katiba ya nchi. Kwa ujumla, habari ya Kibanda ya Tuendako ya Jumatano iliyopita inaonyesha namna Kibanda anavyoendeshwa na chuki katika kuandika habari zake. Anajionyesha kama mwandishi asiyefaa kwa sababu ya kujawa na chuki. Ni vema Kibanda akajirekebisha ili aandike habari zilizo na chuki za waziwazi.
 
kabanda ana chuki binafsi na anaanza kuharibu gazeti...ameshapewa mgao wa dowans nini? freeman kaa macho freemedia imeingiliwa mlango wa nyuma,,,kisingizio cha uhuru wa habari na maoni
 
Siku ya Jumatano iliyopita tarehe 12.1.2011, Kibanda alitoka na habari katika gazeti la Tanzaniakama Sitta angekuwa waziri kipindi cha waziri mkuu msitaafu Msuya angemfukuza kazi. Akadai pia kuwa Sitta ni mtu mwenye chuki isiyoisha hata kutishia maisha ya watu na familia zao. Zaidi ya hayo Kibanda alidai kuwa wenye mtazamo sawa na Sitta ni wajinga. daima kuwa Sitta hafai kuwa waziri kwa vile ameshindwa kuonyesha uwajibikaji wa pamoja katika baraza la sasa la mawaziri. Alienda mbali zaidi kwa kudai kuwa

Lakini siku ya Ijumaa, 14.11.2011 waziri mkuu mstaafu Msuya alikariririwa na gazeti la Mwananchi kwa habari ndefu kuwa anamwamini sana Sitta kuhusu kwa msimamo wake juu ya Dowans kwa vile ki-taaluma ni mwanasheria na pia ameongoza Bunge la Muungano wa Tanzania. Cha ajabu ni kuwa Kibanda alimwona Sitta kama mtu mwenye chuki zisizoisha huku yeye mwenyewe Kibanda akionyesha chuki za waziwazi dhidi ya Sitta. Kibaya zaidi anatumia hoja dhaifu kuhalalisha chuki yake kwa Sitta. Kwanza hakuna mahala popote ambapo mawaziri katika serikali ya sasa baada ya uchaguzi wamekaa kujadili kama baraza la mawaziri kuhusu hukumu ya ICC kati ya mafisadi Dowans na Serikali ya CCM. Kwa hiyo suala la uwajibikaji wa pamoja halipo kwa sababu mawaziri hawajawahi kukaa na kujadili na kuwa na uamuzi wa pamoja kuhusu hukumu ya ICC. Pili suala kwamba Msuya angemfuta kazi Sitta halina nguvu kwa kuwa hakuna maamuzi ya pamoja ya mawaziri kuhusu suala hilo la hukumu ya ICC. Vilevile, Msuya amemshushua Kibanda pale alipomfagilia waziwazi Sitta kwa kumweleza kuwa ni waziri mwenye uelewa wa mambo kuhusu Dowans na Katiba ya nchi. Kwa ujumla, habari ya Kibanda ya Tuendako ya Jumatano iliyopita inaonyesha namna Kibanda anavyoendeshwa na chuki katika kuandika habari zake. Anajionyesha kama mwandishi asiyefaa kwa sababu ya kujawa na chuki. Ni vema Kibanda akajirekebisha ili aandike habari zilizo na chuki za waziwazi.

Mkuu hata mimi niliisoma article ya Kibanda na niliona jinsi alivyoonesha chuki zisizo na msingi kwa mzee Sitta. At first nikashangaa namna ambavyo gazeti la TZ daima lilivyofanya U-Turn kwa mtu anayepiga vita malipo ya Dowans.

Nadhani watu wa Mwananchi nao hawakupendezwa na hiyo article ndio maana wakamhoji mzee Msuya waone kama kweli na yeye hajapendezwa na Sitta kama Kibanda alivyokuwa anaproject.

Mzee akaeleza bayana kuwa yupo upande wa Sitta. Nadhani anachofanya Kibanda ni kujaribu kuwafrustrate kimtindo watu wanaopingana na malipo ya Dowans. Sitta sio mkamilifu by any measure of standards lakini anaposimama upande wa wananchi lazima tumsapoti.
 
He's on RA's payroll I have refutable proof about it and I dare you (kibanda ) to challenge it !!
Mhandisi
 
He's on RA's payroll I have refutable proof about it and I dare you (kibanda ) to challenge it !!
Mhandisi

Halafu anataka kulichafua gazeti letu la Tanzania Daima. We do not want that, akaweke machapisho yake gazeti la Mtanzania au Uhuru.
 
Wakuu hao jamaa hawana machungu na nchi so watafanya jambo lolote kuhakikisha wapinzani wa mafisadi wanaanguka!
 
Back
Top Bottom