Shalom
JF-Expert Member
- Jun 17, 2007
- 1,315
- 124
Kwa kazi hii uliyomfanyia Mbowe(Mkurugenzi wako) ya kummaliza Zitto sidhani kama deni alilokukopesha atakudai tena.
swali jee makala haya ya kumchafua Zitto kabwe na kina KITILA ndio ulikuwa unataka huruma ya MKURUGENZI WAKO juu ya deni alilokukopesha?
KIBANDA umewahi kuandika makala kwenye Tanzania Daima juu ya siasa za Mbeya na Makundi yaliyopo kumsakama Mwandosya naomba ubishe hili?
jana hukuonekana hapa jamvini au ulikuwa kwenye PARTY ya kupongeza ya kamati ya Mbowe?
Childish!