Naliona anguko la Kibanda

Masatu

JF-Expert Member
Jan 29, 2007
3,276
125
A little while ago one of the cream of analytical politics of Tanzania had this to say with regard to the so called Kibanda;

Absalom Kibanda – The editor of Tanzania Daima is really an attack pit-bull that Freeman Mbowe unleashes once in a while. (Deodatus Balile is a pitbull for Rostam Aziz). The problem with Kibanda is the "Mbeya problem". He hasn't gotten over the fact that Mwandosya lost to JK fairly and squarely in 2005. Author - Uknown

Baada ya mashinikizo, vitisho, vitimbi na kejeli za kila aina kutoka kwa "Mhariri mtendaji" wa gazeti la TanzaniaDaima Absalom Kibanda hatimae Zitto Kabwe ame succumb to the pressure na kuondoa jina lake kwenye kinyang'anyiro cha ugombea wa uenyekiti wa Chadema.

Tukirudi nyuma kidogo na kuangalia mlolongo wa matukio kuelekea Zitto kujitoa, jina la Bwana Kibanda linachomoza mithili ya mnara wa kuongozea meli bandarini.

Huko aki defy obvious principles za conflict of interest Kibanda akishirikiana na "Baba mkwe" mzee Mtei wameweza kum bully Zitto na hata kufikia kujaribu "kumhonga" cheo (kama alivyonukuliwa Zitto mwenyewe).

Kibanda amei aibisha fani ya uandishi, yeye mwenyewe, Mbowe na Chadema kwa ujumla kwenye sakata hili ambapo demokrasia imechinjwa wazi wazi mchana kweupe.

Unless Kibanda anafikiri atafanya kazi TanzaniaDaima maisha yake yote labda ndio amefanya hayo aliyo yafanya lakini kama kutakuwa na maisha nje ya TanzaniaDaima basi what we have seen is just the beggining of the end of Absalom Kibanda.

Time will tell....
 
Nasikia Kibanda mambo yake ni mazuri. Siku za karibuni amenunua magari matatu. Wanaomjua wanasema alitumiwa kumcharaza Mr SIx na of late akamshambulia Kijana Heavy. Ni yalke yale we are a nation mafisadi tolerant.
 
kazi yake hiyo ni ya kupita,tutamkumbusha mbele ya safari siku moja. Ipo siku mawe yote yatageuzwa.
 
Simply said a pandemic pot of despicable despotism, nauseating nepotism and incospicuous incompetency coupled with idiocratic incoherency.
 
Hivi huyu Kibanda ni mtu wa Mbeya? Hilo Absalom linaonyesha kama huyu ni wa huku kwetu.

Lakini mbona anaongea mbofu mbofu sana kulinda boss wake. Watu wa Mbeya huwa hawajikombi kwa maboss.

Itabidi tumwitie wazee wamkanye.
 
Engineer,

Just as it is a biased overgeneralization to say "watu wa Mbeya wanajikomba kwa mabosi", it is a biased overgeneralization to say "watu wa Mbeya hawajikombi kwa mabosi", at the very least not without further qualifications and exception pointing.
 
"Heri mtu akuchome kwa kisu kuliko kukuchoma kwa kalamu"-author unknown
 
Engineer,

Just as it is a biased overgeneralization to say "watu wa Mbeya wanajikomba kwa mabosi", it is a biased overgeneralization to say "watu wa Mbeya hawajikombi kwa mabosi", at the very least not without further qualifications and exception pointing.

Mifano ipo mingi, wengine hujaziwa piki piki mafuta....wengine dining with the likes of Lowassa and mwakipesile! Upo hapo?
 
My objection is characterizing a whole people based on "mifano".Kama hivyo basi kila mtu atakuwa kila kitu, maana kila kabila lina kila aina ya watu.

Tunapoongelea a people (wahaya, waafrika, watu wa mbeya, wanawake etc), inabidi tuwe waangalifu, kama unasema watu wa Mbeya ni hivi au si vile you better back that up with statistics, ama sivyo inabidi uweke caveats na qualifications kibao zinazoonyesha kuwa huna statistical evidence na unaenda na anecdotal references, which could be as biased as can be.
 
Mifano ipo mingi, wengine hujaziwa piki piki mafuta....wengine dining with the likes of Lowassa and mwakipesile! Upo hapo?
Masanilo aka Ze Comedy tunakufahamu, endelea kufurahisha genge. Huna tofauti na Kibanda; you are doing the dirty job ya kumchamfua yeyote ambaye hamuungi mkono Mwakyembe. Malipo kusalimiwa na Spika Sitta Dodoma na kutokea kwenye report ya bunge.
 
Can you expound the highlighted part! Thanks
 
Simply said a pandemic pot of despicable despotism, nauseating nepotism and incospicuous incompetency coupled with idiocratic incoherency.

Mmh! kuna haja ya kuwa na icon ya dictionary somewhere katika JF, hii Kibanda hajakuelewa, sembuse mimi.

Yes 'nauseating nepotism' kama Kibanda mkwe wa Mtei na rafiki wa Mbowe, muajiriwa wa Chadema, then that article was absolute equivocal!
 
Hizi thread za kujadili watu zinaonyesha uwezo wa kufikiri unapungua na ni hatari tukianzisha thread za kijinga jinga kama hizi maana hazina faida kwa jamii.
Masatu sasa na wewe waanza kufulia.
 
Tofautisha kuzungumzia watu na kuzungumzia ideas na matamshi yao.It is a thin line.

One cannot talk of Keynessian economics without mentioning, even in passing, Johm Maynard Keyness, the same for Reaganomics and Thatcherism.

Kwa hiyo hii concept ya "small minds discuss people, great minds discuss ideas" ina mwisho wake.After all, there is a very thin line between people and their ideas.
 
Dah! msimu wa mavuno umewadia 2010.

wahariri wasipomeki this time wameumia maana kuna kazi kubwa itafanyika kuitakasa media siku zijazo ambapo real tanzanians watakaposhika hatamu.
 
Hizi thread za kujadili watu zinaonyesha uwezo wa kufikiri unapungua na ni hatari tukianzisha thread za kijinga jinga kama hizi maana hazina faida kwa jamii.
Masatu sasa na wewe waanza kufulia.

Imeshindwa kuelewa the whole thing umebaki kumwaga lawama zisizo na msingi.

Ushauri wa bure: Soma signature yangu you could be one of them!
 
Tofautisha kuzungumzia watu na kuzungumzia ideas na matamshi yao.It is a thin line.

One cannot talk of Keynessian economics without mentioning, even in passing, Johm Maynard Keyness, the same for Reaganomics and Thatcherism.

Kwa hiyo hii concept ya "small minds discuss people, great minds discuss ideas" ina mwisho wake.After all, there is a very thin line between people and their ideas.
You might be right but what we are witnessing here is mjadala juu ya Kibanda na si hoja zake. But it is encouraging that you have noted that there is thin line between people and their ideas
 
And if you are "encouraged" by that observation, whose validity you readily endorse, you shouldn't be so quick to dismiss people as not serious based on a thinly demarcated reasoning.
 
A little while ago one of the cream of analytical politics of Tanzania had this to say with regard to the so called Kibanda;

Baada ya mashinikizo, vitisho, vitimbi na kejeli za kila aina kutoka kwa "Mhariri mtendaji" wa gazeti la TanzaniaDaima Absalom Kibanda hatimae Zitto Kabwe ame succumb to the pressure na kuondoa jina lake kwenye kinyang'anyiro cha ugombea wa uenyekiti wa Chadema.

Tukirudi nyuma kidogo na kuangalia mlolongo wa matukio kuelekea Zitto kujitoa, jina la Bwana Kibanda linachomoza mithili ya mnara wa kuongozea meli bandarini.

Huko aki defy obvious principles za conflict of interest Kibanda akishirikiana na "Baba mkwe" mzee Mtei wameweza kum bully Zitto na hata kufikia kujaribu "kumhonga" cheo (kama alivyonukuliwa Zitto mwenyewe).

Kibanda amei aibisha fani ya uandishi, yeye mwenyewe, Mbowe na Chadema kwa ujumla kwenye sakata hili ambapo demokrasia imechinjwa wazi wazi mchana kweupe.

Unless Kibanda anafikiri atafanya kazi TanzaniaDaima maisha yake yote labda ndio amefanya hayo aliyo yafanya lakini kama kutakuwa na maisha nje ya TanzaniaDaima basi what we have seen is just the beggining of the end of Absalom Kibanda.

Time will tell....

Hii njemba inayojiita masatu imeumia roho sana kwa kuona Chadema inataka kuvuka uchaguzi kwa salama. Umezoea kula vya kunyonga sio? Ngonya siku yaja huko CCM ulikozoea kupata vya bure mrija utakatwa.....
 
Back
Top Bottom