NALETA UCHUMI UNAOPAA: Jakaya Mrisho Kikwete

Haya ndo maneno ya Jakaya Mrisho Kikwete Dec 2005 mpaka sasa hakuna cha maana mpaka uchumi umelegalega.

Mtu anaweza kujiuliza je Jakaya Mrisho kikwete kajikwaa wapi?

Uchumi Unaopaa
Mheshimiwa Spika:
Baada ya mafanikio ya Awamu ya Tatu, haitarajiwi kuwa Serikali ya Awamu ya Nne italegeza kamba na kupuuza misingi iliyotuletea mafanikio tunayojivunia. Najua mengi yamesemwa na watu wanaodai wanamfahamu Jakaya Mrisho Kikwete na jinsi atakavyolegeza mambo. Napenda kuwahakikishieni kuwa watu hao wamepotea sana.

Wakati wa kampeni wapo baadhi ya wapinzani waliothubutu, kwa kukosa shukrani, kusema ati Serikali ya Awamu ya Tatu ilikuwa inatekeleza sera zinazobuniwa Washington. Serikali ya Awamu ya Nne haitaogopa kubuni na kutekeleza sera na mikakati ya maslahi kwa ukuaji wa uchumi na maisha bora kwa kila Mtanzania ati kwa vile zinaungwa mkono au kufadhiliwa na nchi tajiri na mashirika ya fedha ya kimataifa.Hatutafanya lolote lisilo na maslahi kwa taifa letu kwa kuwaogopa au kutaka kujipendekeza kwa wakubwa hao. Lakini vile vile hatutaacha kufanya lolote la maslahi kwa taifa na Watanzania kwa vile tu linaenda sambamba na ushauri wa mashirika ya fedha ya kimataifa. Hatutafanya maamuzi kwa kutaka kupendwa; lakini tutafanya kila maamuzi kwa kigezo cha msingi cha maendeleo na maslahi ya taifa.

Mheshimiwa Spika:
Mbali ya kusukumwa na hoja ya kukuza uchumi haraka ili kupiga vita umaskini, tunasukumwa pia na ukweli wa nguvu za utandawazi na ushindani mkubwa katika masoko ya kanda na ya kimataifa. Hivyo basi, sote tuunganishe nguvu zetu ili tuongeze uzalishaji, tuongeze uwekezaji, tuongeze mauzo nje, tuongeze ubora wa mazao na huduma zetu na tuongeze kasi ya ukuaji wa uchumi wetu ili upae. Hakuna kurudi nyuma. Kasi mpya inayozungumziwa ni ya kusonga mbele na siyo kuserereka na kurudi nyuma kwa kasi.

Update: source Jakaya Mrisho Kikwete-Jakaya Kikwete Speech,Jakaya kikwete news, Jakaya kikwete bringing world to Tanzania,Jakaya activites in Tanzania

Kwa umeme upi huo? na kwa mikataba ipi yenye manufaa kwa umma?

Hapo kwenye Red ni kwamba umejihujumu mwenyewe maana mambo mengi anayosema yamemshinda
Hata mimi nimeshangaa. Hivi kushindwa kumkamata Mkapa, Chenge, Edward Lowassa,Rostam, Mkono, Balali, Rutabanzibwa, Sumaye na wengineo alihujumiwa?
Alihujumiwa vipi hadi kushindwa kuitambua Kagoda?
''alihujumiwa wapi aliposema hajui ni kwanini tanzania ni maskini?
Alihujumiwa wapi kwenye ishu ya Richmond hadi serikali ikaaanguka?
Hata ishu ya Jah-Hero nayo kahujumiwa?
Na kuvua gamba je? Napo kahujumiwa?
Tusitetee upumbavu. Kikwete ameshindwa

Mi nina wasiwasi na kitu hiki kifuatacho. Inawezekana nchi ilikuwa inaongozwa na Marehemu Sheikh Yahaya. Kwa sababu toka kifo chake kipite sasa shughuli imekuwa pevu kweli kweli kaka JK. Wenzangu munalionaje hili?

Nakumbuka kama vile Mrehemu Sheikh Yahaya aliwahi kutangazia umma wa Tanzania kwa yeye ni MLINZI WA AMANI wa baadhi ya viongozi wetu nchini sasa huwezi kujua alikua anawaongoza katika lipi na hivi sasa kutokwepo kwake kumejitokeza pengo gni hasa kwenye hiyo hiyo safu ya ulinzi wake.

Ila uhusiano wa huyo aliyejiita MNAJIMU WA KIMATAIFA na dhana zima ya uchumi unaopaa hakika siwezi kusemea hata kidogo.

Haya ndo maneno ya Jakaya Mrisho Kikwete Dec 2005 mpaka sasa hakuna cha maana mpaka uchumi umelegalega.

Mtu anaweza kujiuliza je Jakaya Mrisho kikwete kajikwaa wapi?

Uchumi Unaopaa
Mheshimiwa Spika:
Baada ya mafanikio ya Awamu ya Tatu, haitarajiwi kuwa Serikali ya Awamu ya Nne italegeza kamba na kupuuza misingi iliyotuletea mafanikio tunayojivunia. Najua mengi yamesemwa na watu wanaodai wanamfahamu Jakaya Mrisho Kikwete na jinsi atakavyolegeza mambo. Napenda kuwahakikishieni kuwa watu hao wamepotea sana.

Wakati wa kampeni wapo baadhi ya wapinzani waliothubutu, kwa kukosa shukrani, kusema ati Serikali ya Awamu ya Tatu ilikuwa inatekeleza sera zinazobuniwa Washington. Serikali ya Awamu ya Nne haitaogopa kubuni na kutekeleza sera na mikakati ya maslahi kwa ukuaji wa uchumi na maisha bora kwa kila Mtanzania ati kwa vile zinaungwa mkono au kufadhiliwa na nchi tajiri na mashirika ya fedha ya kimataifa.Hatutafanya lolote lisilo na maslahi kwa taifa letu kwa kuwaogopa au kutaka kujipendekeza kwa wakubwa hao. Lakini vile vile hatutaacha kufanya lolote la maslahi kwa taifa na Watanzania kwa vile tu linaenda sambamba na ushauri wa mashirika ya fedha ya kimataifa. Hatutafanya maamuzi kwa kutaka kupendwa; lakini tutafanya kila maamuzi kwa kigezo cha msingi cha maendeleo na maslahi ya taifa.

Mheshimiwa Spika:
Mbali ya kusukumwa na hoja ya kukuza uchumi haraka ili kupiga vita umaskini, tunasukumwa pia na ukweli wa nguvu za utandawazi na ushindani mkubwa katika masoko ya kanda na ya kimataifa. Hivyo basi, sote tuunganishe nguvu zetu ili tuongeze uzalishaji, tuongeze uwekezaji, tuongeze mauzo nje, tuongeze ubora wa mazao na huduma zetu na tuongeze kasi ya ukuaji wa uchumi wetu ili upae. Hakuna kurudi nyuma. Kasi mpya inayozungumziwa ni ya kusonga mbele na siyo kuserereka na kurudi nyuma kwa kasi.

Update: source Jakaya Mrisho Kikwete-Jakaya Kikwete Speech,Jakaya kikwete news, Jakaya kikwete bringing world to Tanzania,Jakaya activites in Tanzania
JK kafanya mambo mengi tatizo lako umevaa miwani ya kitambaa huoni wala husikii,hakuna raisi kama JK afrika kama unamjua mtaje.

akili za kupewa haziwezi kukupa mabadiliko! hujiulizi kwanini wasomi wengi afrika na lot of resources bt no development? its simply because the very few creatives! so even jk, sio creative, alitaka tumia vichwa vya watu: ndo madhara yake

JK kafanya mambo mengi tatizo lako umevaa miwani ya kitambaa huoni wala husikii,hakuna raisi kama JK afrika kama unamjua mtaje.

Kamyasu, are you OK upstairs or there might be a worn sucking out all of your reasoning capacity? Your weaknesses ain't my concern right now though, I'm pre occupied with the pace / mode at how JK is tackling issues concerning our country!
Nalaani mtandao uliomweka huyu 'mswahili' kwenye nafasi kubwa ya kuwa rais wetu, walichotarajia walipata (wizi na ufisadi) hadi menja serikalini ni mwizi.
Hawa waliompigia debe ndo matatizo hawezi na wala hawathubutu kumwambia ukweli.

"JK kafanya mambo mengi tatizo lako umevaa miwani ya kitambaa huoni wala husikii,hakuna raisi kama JK afrika kama unamjua mtaje."

Ustahadhi Bob Mugabe!!!! Jogoo la Afrika !!!!

Huo uchumi unapaa kwenda wap? Mimi namaisha magumu sana, yeye nae anachangia hili. Yan usomi wangu mbela ya nchi yangu its useless!

Haya ndo maneno ya Jakaya Mrisho Kikwete Dec 2005 mpaka sasa hakuna cha maana mpaka uchumi umelegalega.

Mtu anaweza kujiuliza je Jakaya Mrisho kikwete kajikwaa wapi?

Uchumi Unaopaa
Mheshimiwa Spika:

Baada ya mafanikio ya Awamu ya Tatu, haitarajiwi kuwa Serikali ya Awamu ya Nne italegeza kamba na kupuuza misingi iliyotuletea mafanikio tunayojivunia. Najua mengi yamesemwa na watu wanaodai wanamfahamu Jakaya Mrisho Kikwete na jinsi atakavyolegeza mambo. Napenda kuwahakikishieni kuwa watu hao wamepotea sana.

Wakati wa kampeni wapo baadhi ya wapinzani waliothubutu, kwa kukosa shukrani, kusema ati Serikali ya Awamu ya Tatu ilikuwa inatekeleza sera zinazobuniwa Washington. Serikali ya Awamu ya Nne haitaogopa kubuni na kutekeleza sera na mikakati ya maslahi kwa ukuaji wa uchumi na maisha bora kwa kila Mtanzania ati kwa vile zinaungwa mkono au kufadhiliwa na nchi tajiri na mashirika ya fedha ya kimataifa.Hatutafanya lolote lisilo na maslahi kwa taifa letu kwa kuwaogopa au kutaka kujipendekeza kwa wakubwa hao. Lakini vile vile hatutaacha kufanya lolote la maslahi kwa taifa na Watanzania kwa vile tu linaenda sambamba na ushauri wa mashirika ya fedha ya kimataifa. Hatutafanya maamuzi kwa kutaka kupendwa; lakini tutafanya kila maamuzi kwa kigezo cha msingi cha maendeleo na maslahi ya taifa.

Mheshimiwa Spika:

Mbali ya kusukumwa na hoja ya kukuza uchumi haraka ili kupiga vita umaskini, tunasukumwa pia na ukweli wa nguvu za utandawazi na ushindani mkubwa katika masoko ya kanda na ya kimataifa. Hivyo basi, sote tuunganishe nguvu zetu ili tuongeze uzalishaji, tuongeze uwekezaji, tuongeze mauzo nje, tuongeze ubora wa mazao na huduma zetu na tuongeze kasi ya ukuaji wa uchumi wetu ili upae. Hakuna kurudi nyuma. Kasi mpya inayozungumziwa ni ya kusonga mbele na siyo kuserereka na kurudi nyuma kwa kasi.

Update: source http://www.jkikwete.com/speechz.php?id=767

Labda Uchumi Unaoporwa, Nchi yetu wenye Uchumi watu kutoka ASIA.
Msinifanye Nitoe mitusi..Mpate sababu, punguani wakubwa wamejaa Kwenye taasisi za UMA.

kati ya mambo yaliyomuangusha kikwete ni kutoa speech ya uongo mwaka 2005.aliingia kama mtu atakayefanya mema zaidi ya mkapa.ukifanya tathimini ndogo tu ya uchumi, ni rais aliyefanya vibaya zaidi ya marais wengine. je uchumi aliousoma umemsaidia????Amefika fika je hapa halipo??watz tunapenda kumshangilia mtu pasipo kujua lolote kumuhusu???kapewa nchi ina kila kitu lakini ndiye anaonekana kuchemka zaidi.kutoa maamuzi una marks 0,% kutembelea jama na nchi mbali mbali una 100%, kutatua matatizo ya nchi una 10%.Kwa nini usiachane na mabaya haya ili mwaka 2015 tuwe na lolote la kukumbukia???ila tutakukumbuka kama rais aliyekuwa hana msimamo,asiye na plan lakini akiongoza kutabasamu

Back
Top Bottom