Msema hovyo
Senior Member
- Jul 3, 2011
- 195
- 86
Hahaha, duh mkuu hii ni kali. Lakini kuna rummors nyingi sana mitaani kwamba JK alitumia sana pesa na uchawi kuweza kuingia kwenye nafasi aliyonayo. No wonder nchi inakwenda hovyohovyo. Maana hakuna jipya linaweza kutarajiwa kutoka kwa mtu aliyeingia kwa kutumia ushirikina. Ila nilichosikia ni kwamba hata Mangula alikosa nguvu baada ya kuona hana support aliyokuwa anaipata mwanzoni kutoka kwa Mkapa. Inasemekana Mkapa alikuja kubadilika ghafla, akawa haeleweki kama yupo for Kikwete au against. Kiasi cha kusababisha hata Salim amlaumu sana baada ya kura za NEC.
Na mwinyi ndie aliyemkataza Shein hasigombee maana Shein pia alitaka kujitosa; Lakini Mangula alimuogopea nini Mwinyi kilaza yule? hapa ndipo nashindwa kuelewa nini kilikuwa kinaendelea nyuma ya Pazia maana pia wanasema Mkapa alikuwa ajijui siku hizo na kuwa hata hotuba aliyotowa dodoma aliambiwa kuwa ndio aliyoongea akashangaa sana inasemekana Mkapa aliyekuwa ana hutubia CC na NEC ya CCM kabla ya kupiga kura alikuwa ni jini la Yahya maajabu sana hapa Afrika.