Nakutakia safari njema rais wangu kikwete

Umenipita speed kali mida hii ukieleka uwanja wa ndege ukiwa na msafara wa magari mengi. Roho imeniuma sana kwa jinsi unavyo teketeza kodi zetu sisi walala hoi.
Safari zako siziunga mkono labda kama unaenda malawi kutatua mzozo wa mpaka.
Lakini sina budi kukubaliana na wewe kwa kua ndio uliyetangazwa na tume ya uchaguzi. Na watanzania walio kuchagua wameshafuzu mafunzo kwa vitendo, naamin safari inayokuja watakua makini.
Mungu akujalie uende na kurudi salama. mia

Nadhani Watanzania tunakila sababu ya kutorudia makaosa ya kuwachagua Urais kwa aliyepita Uwaziri wa mambo ya nje ,kwani hawa jamaa inaonekana wamekuwa wameisha nogewa .Hebu linganisha enzi za wale wazee wetu wawili amabao walikuwa Waalimu wawo ilikuwa vijiji nawao wao navijiji sasa hebu linganisha hizi njemba zilizofuatia ,niwao na majuu majuu nawao .KAZI KWELI KWELI:flypig:
 
Jioni hii Jk yupo Malawi. nimeambiwa sasa hivi na jamaa aliyeko Ikulu-Malawi.
 
Nadhani Watanzania tunakila sababu ya kutorudia makaosa ya kuwachagua Urais kwa aliyepita Uwaziri wa mambo ya nje ,kwani hawa jamaa inaonekana wamekuwa wameisha nogewa .Hebu linganisha enzi za wale wazee wetu wawili amabao walikuwa Waalimu wawo ilikuwa vijiji nawao wao navijiji sasa hebu linganisha hizi njemba zilizofuatia ,niwao na majuu majuu nawao .KAZI KWELI KWELI:flypig:

malaw nako majuuu??????
 
Mbona ajali ya ndege kwa Tanzania ni chache?

Mkuu ndio maana bro janjaweed APo juu kaweka wazi wabaya wanaishi longlife ni positive answer. Ebu kumbuka shuleni uliposoma mwalimu mzuri anamauzurio namna gani na kudumu kwa muda gani kwenye shule husika alafu compare na mwalimu mbaya asiopendwa. IWe kiafya, tabia, elimu, upendo,nk vinavyo mfanya apendwe au achukiwe utaona mwenye roho mbaya au mlm mbaya kwa ujumla utakuta haugui ovyo, mikosi ya aina yeyote na anafanya kazi mpaka jumapili never miss vipindi mnamchukia yeye anadunda nyie mnalia tuwakilishe jk tena live-long your highness!!!
 
Umenipita speed kali mida hii ukieleka uwanja wa ndege ukiwa na msafara wa magari mengi. Roho imeniuma sana kwa jinsi unavyo teketeza kodi zetu sisi walala hoi.
Safari zako siziunga mkono labda kama unaenda malawi kutatua mzozo wa mpaka.
Lakini sina budi kukubaliana na wewe kwa kua ndio uliyetangazwa na tume ya uchaguzi. Na watanzania walio kuchagua wameshafuzu mafunzo kwa vitendo, naamin safari inayokuja watakua makini.
Mungu akujalie uende na kurudi salama. mia

Jamani tusikurupuke kumlaumu kwani hatuna uhakika kaenda wapi na kwa ajili gani sio safari zote ni kula bata tuu na ata Kama ni bata tunalia niñi kwani Leo si jumapili tena Siku ya kuhesabiwa kuna kazi ofisi gani zaidi ya security service za kawaida labda kamaliza kuhesabiwa zake akaamua aka pumzike weekend au akapige mzigo tuwe wavumilivu kidogo...
 
hii laana itawapata wote walio mpa kura huyu jamaa....alikuwa anasubiri kuhesabiwa then asepe akaangalie balance kwenye account zake....shame on you mr.president
 
Kuna mwanafalsafa aliwahi kutoa rai kwamba kujisomea na kusafiri ni njia mbili maarufu za kujipatia maarifa na weledi.Maana yake ni kwamba ukijisomea unajiuliza maswali kwa kutafakari na ukisafiri unaona wengine wanafanya nini walau ukiungaunga unaweza kubadilisha kwenu.
Viongozi wetu hasa Mh. Dk. Mkapa na Mh. Dk JK wameonesha kuwa ni watu wanaosafiri sana japo sijui iwapo wote wana tabia ya kujisomea sana.
Hata hivyo kwa kushindwa kuiga walau mbinu anazotumia Kagame kuisafisha Kigali na mbinu za Halmashauri ya Moshi Mjini inayoongozwa na CHADEMA zilivyoweza kuufanya mji wa MOSHI kuwa safi na kuishi Dar jiji chafu kuliko mengine Afrika(mbishi aseme Dar inalishinda jiji lipi kwa usafi)nina hypothesis(jamani nisaidieni maana ya nenohili kwa kiswahili) hii:
H0:Mara zote wanaposafiri watu hawa huwa wanasinzia kwa asilimia 100 kwa hiyo hawajawahi kutazama kwa makini wenzao wanafanya nini.
H1:ALTERNATIVE HYPOTHESIS:Wameona walichofanya wenzao lakini hawakuelewa wala hawakuwauliza wenyeji wao siri ya mafanikio; YAANI Viongozi wetu wameshakata tamaa kwa hiyo wanasafiri kwa manufaa mengine ambayo siyo kujifunza wala kupata uzoefu.NAKARIBISHA MAWAZO
 
Back
Top Bottom