NAKUTAFUTA WEWE DADA YANGU

Jamani kwa waliosoma Tabora Boys and Tabora Girls au Mzumbe na kilakala,kupata dada ilikuwa sio kazi kwani jamaa Stanley anaweza alikuwa Form one kipindi hiko na huyo dada alikuwa form four ,kama tunavyojua shule hizo ni marafiki na huwa kuna madisco na wadada wa form four huwa wanapenda sana watoto wa form one na huwa wanawaambia wawaite "DADA" hivyo inawezekana kabisa jamaa ni dada yake!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom