Nakupenda sana mume wangu

mnh ni ndoa tunazozijua ambazo tendo la ndoa linakuwepo,au ni companionship....kweli kila mtu anadefine maisha anavyojua yeye,,,,,,
 
Looo kweli mapenzi ni kuvumiliana hasa kama yapo, hapo kama alikuwa anakutesa na kukufanyia kila aina ya vituko akaja akapata hiyo obesity utaweza mvumilia, wanawake nahisi tunaweza... kama tu kulikuwa na real love ila sijui ile mambo ya alfu mia mbili inakuwaje
 
thats true mamito................me love the signature of urz so much
 
Miili mingine inashukrani ati. Mtu ananenepa mpaka anakuwa kama nyangumi!
 
ni kibamia ...........upo

Ni kweli upo, ila utakuwa umezama kwenye manyama ya uzembe, na kinatumika kwa shughuli ndogo ndogo tu. Mtu wa namna hii ni lazima ana chronic high blood pressure, kisukari nk. Ni wa kumhurumia tu na hicho kibamia chake!
 
Mlivyokikazania kibamia cha watu!!!!! Mnajuaje lakini kama ana kibamia na sio mtalimbo?
 
Hapa ndo pale unapoangalia tafsiri ya Mapenzi.... Ya kweli na dhati pia... Kwamba kumjali mwenzio no matter what or yupo vipi.... BUT then narudi nyuma na kujiuliza... huyo mwanamke anapokua na huyo mwanaume ambae ni dhahiri hamridhishi... Je ni ruksa kutoka nje na asiwe judged?? Je sababu the guy is made that way kama mkewe anaridhishwa nje atakubali tu na kuridhia.... Kwamba roho yake sio nyama.... Kwamba because he is big basi roho yake nayo ni that Big....

Nikirudi kwenye picha... kuacha kupamba maneno na kuonekana ni wema... Hio hali ni mbaya kwa kweli... Ndio waweza kuta the guy was normal before ndo akaja kua hivo... ofcoz siwezi kumkimbia for sasa hio sio overweight tena ni ugonjwa... swali inakua kua I as a Woman.... Will i be freely allowed by the man nipate mahitaji ya Sex nje?? yaani kazi kweli kweli....

Kunenepeana namna hii ni hatari,sijui kama ni ugonjwa au...kama alimwoa akiwa mwembamba basi huyu bingwa ni mbinafsi sana...ili tuwe mwili mmoja basi ni vizuri tukitiisha miili yetu kwa faida/mapenzi ya wenzetu.. namaanisha kunenepeana ndani ya ndoa ni ubinafsi wa hali ya juu... Asha ni hatari kunenepa/kunenepeana ktkt ya mahusiano....wanaume wengi tunaikubali hiyo hali kwa shida sana na hatuwi wakweli (shida huanzia hapa) kwa wenzetu..
 
Ndoa hz! Ila style zipo nyingi jamaa ukute yupo fit kinyama. Dont judge a book by its color guys.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom