nakupenda sana mama yangu mamndenyi

Naomba nafasi ya upambe wa kukuchagulia mke nikisaidiana na mamako.
 
Me :A S-heart-2: You !

Nothing else !

Lol! Come baby! Sijaambiwa hivyo mwaka wa tano sasa, leo nimeondoa gundu....halafu nimetafuta wamasai wanisaidie kukupa ulinzi.Lazima umlinde umpendaye, teh teh teh....masai nawaaminia...
 
My son mimi nakupenda sana nafurahi sana kwa vile unavyonitunza na kunijali katika umri wangu huu wa utu uzima. Asante kwa zawadi ulizonipa nifurahi sana Mungu akubariki. Kuhusu mke mwanangu nimekupa uhuru chagua mke mwenye maadili mema ambaye hataweza kubadili maadili yako wewe mwanangu mpendwa. Ukishamchagua tuwasiliane ili taratibu za kimila zifuatwe.
 
Lol! Come baby! Sijaambiwa hivyo mwaka wa tano sasa, leo nimeondoa gundu....halafu nimetafuta wamasai wanisaidie kukupa ulinzi.Lazima umlinde umpendaye, teh teh teh....masai nawaaminia...

Hahahahaha lol.......nimecheka kidogo nipaliwe khaaa!

Ulinzi unaanza lini sasa?
 
Thanks lol
Acha nianze kujidai mie!

Tembea ukiringa mwanakwetu...ulinzi wa wamasai sio mchezo...nimewaruhusu mpaka wakusuke rasta(Ila ntahakikisha wamevaa kufuri). Upendeze ukiwa unatembea unaringa
 
Back
Top Bottom