Nakupenda Sana Lakini Ukiendelea Hivi Nakutema!

Hadi nitakapo soma response toka upande wa pili. Hata hivyo, mapenzi ya kutishiana na kuleta habari za yaliyopita si mapenzi.

Maji ukiyavulia nguo yaoge, sio ooh nili...uli..uki...nita..., unafukunyua ya nyuma ambayo ulisamehe na hukulazimishwa kumvulia nguo huyo unayemuita bitch, sitaki nataka hizo ndugu yangu mtoa mada.
 
Vibaya hivyo dada yangu! Maelezo marefu kiasi hicho wewe umeona neno "B" tu. Mnyonge mnyongeni jamani lakini haki yake mpeni. Binafsi nadhani nimejitahidi kupresent machungu ya mshikaji kwa njia ambayo ni creative japo si sana. Na kwa upande wa mlalamikaji naona kama ana kiasi fulani cha haki ya kulalamikia yaliyofanywa na mwandani wake. Unajua tunajitahidi sana kuwapenda wandani wetu lakini utafikiri wamelaaniwa. The nicer you become the worse she gets!

  • Thanks
Reactions: Mbu

Kwanza kabisa sijui. Pili unajiongelea mwenyewe au unaongea kwa niaba ya wengine? Ni kina nani hao?

Je wewe wajua kuwa wandani wenu wanaridhika na jinsi mnavyowapenda? Wanapenda mnavyowapenda? mmewahi kuwauliza muwapendeje waridhike au mmejichukulia kuwa mnavyoamua kuwapenda lazima wakubali na warishike ndio kupendwa?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

...Dah, e bana Analyst kwanza pole sana.
Kisha, hongera kwa huo upendo unaotokana na uvumilivu.

Anyway, sina la kukushauri. Kuna kipindi hata mimi nilishauriwa weee...nikawa nawajibu, nampa nafasi nyingine..
nafasi ikawa ya tatu, ya nne, ya tano,...mpaka siku nilipojiamulia sasa basi, ikawa basi kweli kweli. Maana hata mhusika hakuamini
nimesema basi... Ttaizo ni yale makovu anayokuachia kiasi kwamba unapoteza kabisa utu, na Imani ya kupenda tena.

Anyway, maisha yanaendelea bana. Kama maajabu umeandikiwa, unaweza bahatisha mwenza ambaye anaweza kusahaulisha machungu ya nyuma. Ukajiona mpya...ukajiona u tayari kukabiliana na maisha ya mapenzi tena,...
Tatizo litakuja iwapo utajipa woga huenda makosa na machungu yatajirudia!...hapo utakuwa unaharibu...!
Usiingie kwenye mapenzi mapya mguu ndani mguu nje kwani si kila binadamu yupo sawa na mwingine.

Experience iliyopita imekujenga uwe imara zaidi,...ukipatwa na msukosuko mwingine utauhimili vizuri zaidi. Kila la kheri, na zidisha ibada.
 
Kwanza kabisa sijui. Pili unajiongelea mwenyewe au unaongea kwa niaba ya wengine? Ni kina nani hao?

Je wewe wajua kuwa wandani wenu wanaridhika na jinsi mnavyowapenda? Wanapenda mnavyowapenda? mmewahi kuwauliza muwapendeje waridhike au mmejichukulia kuwa mnavyoamua kuwapenda lazima wakubali na warishike ndio kupendwa?

FA please,

Give a guy a break bana, au hujawahi sikia mwanaume amejiua sababu mkewe ame cheat?
Ni ngumu sana kwa wanaume wengi kulalamika mateso na maswahibu wanayoyapata kwenye ndoa zao,
Kwani jamii, mila na desturi zinatutaka wanaume kwanza "kutokulia!," pili tunaambiwa tupambane, ndio "uanaume huo!"

Binafsi am touched na Analyst alivyoiweka hewani hii kitu, ...sitopenda kusikia msiba mwingine kama wa Marehemu Fred (R.I.P,) aliyekuwa Afisa Mipango wa Chamwino
https://www.jamiiforums.com/mahusia...o-ajiua-baada-ya-kumshika-mke-na-lijamaa.html

Peace & Love.
 
Great input... this situation is common when a heart broken-modern age woman llands on a smart-minded, polite attitude, kind -hearted and self confident man. Kidume kinampenda.. dem akijua anapendwa anaanza kubweteka... badala ya kupenda kuwa mwanamke mwema anageuka mlinzi wa kidume.....anarudia mitabia ilomsababishia akatoswa huko nyuma..... ANABWAGWA TENA.. THE VICIOUS CIRCLE CONTINUES..:pray2:

ewaaa, nadhani huu ujmbe utakuwa unawagusa pia wengi....
 
Kaizer umeona ee? Uwanja mbaya sana huu wa Mapenzi.
Inabidi 'kutembea na bastola tu.'
 
Kwa nini mnafikiri ni stori tu? Jamani inapaswa mjue kuwa baadhi ya wapenzi kwenye mahusiano ni watesaji na wanyanyasaji wa wenzao mpaka inafikia hatua ambayo mtu mwingine akiiandika inaonekana kama mchezo wa kuigiza
Binafsi nakupa pole kaka na nimependa msimamo wako kwani inabidi kujiokoa kutoka kwenye utumwa wa mapenzi MTU MWINGINE AKIPENDWA ANAONA MWENZAKE MJINGA HAJUI KUWA IPO SIKU MTU ATASEMA basi NA ITAKUWA BASI kwelikweli
DAH!Kama ni kweli yamekutokea hayo,mh!Umeipangilia vizuri mno hapo,nahisi kuna ukweli umefichwa,ts too perfect to be true!Ni kama tamthilia,hakuna makosa,hii kweli ni stori(Isidingo).
Kwa story unaweza kutunga mkuu,salute!
 
Unategemea nini unapoamua kuishi na mtu ambaye hata ukoo nae huna? Hivi unajua wewe na mkeo hamna hata ukoo?
 
Kaizer umeona ee? Uwanja mbaya sana huu wa Mapenzi.
Inabidi 'kutembea na bastola tu.'

mkuu sasa ukitembea na bastola hawakawii wanadamu kusema umejilipua kama yule afisa mipango.....dah..
 
Kaka kimsingi unatakiwa kuwa na msimamo katika maisha,hakuna watu kama wanawake wanaopenda jifunza sikolojia ya watu hasa wanaume,atajaribu kukupima since the beginning ili ajue unamsimamo wa namna gani,thus ukimbana korna zote atajua mapema hapa siyo,wewe ulimlegezea wakati anatoka na wafanya kazi wenzake,ukaona sawa,ulifanya kosa kubwa sana hapo,ungenkanya mapema sana.MAKOSA UMEYAFANYA MWENYEWE MKUU,AMESHAKUWA MKEO,KUBALIANA NA YOTE SASA...
 
The Analyst......mh
Hii thread si kuwa nilikuwa sijaiona la hasha yaani jinsi ulivyofikisha ujumbe naomba nikupongeze.

Hiuyu dada anataka nini tena chini ya mbingu hii jamani? Watu tunatafuta wenzi wa kutupenda, kututhamini na kutujali kama Mr hapa hatupati................ama kweli penye miti hapakosi wajenzi.......but kwa tabia hizi Analysist ni wazi kuwa 'ALIYEMTEMA MWANZO' alimtema kwa makosa yake bi dada.

Pole sana, kama kuvumilia umevumilia nadhani kama ujumbe huu kaupata basi atajirekebisha la sivyo hebu mlete.....kichangani kwanza, tumchezeshe chandimu ndo ashike adabu'
 
kama ni member wa JF ujumbe msg sent...tusibiri delivery report
 
Ehh hii kama ni story, bac una kipaj ndugu,,
Nilivyomvivu kusoma eti nimesoma yote kha!

Hapo kwenye 'ajali mhh umenigusa,,

Yaani umeniwahi mpenzi, mimi ni mvivu kusoma maandishi marefu hakuna labda niandike mwenyewe ila hii stori ukianza huachii kati nimeshangaa nimeimaliza big up bro kwa kweli unayaweza
 
Pole sana mkuu
uvumilivu una mwisho wake............... kuliko kufa kwa msongo wa mawazo bora aende zake...................mkataa pema pabaya panamwita

Kaka kimsingi unatakiwa kuwa na msimamo katika maisha,hakuna watu kama wanawake wanaopenda jifunza sikolojia ya watu hasa wanaume,atajaribu kukupima since the beginning ili ajue unamsimamo wa namna gani,thus ukimbana korna zote atajua mapema hapa siyo,wewe ulimlegezea wakati anatoka na wafanya kazi wenzake,ukaona sawa,ulifanya kosa kubwa sana hapo,ungenkanya mapema sana.MAKOSA UMEYAFANYA MWENYEWE MKUU,AMESHAKUWA MKEO,KUBALIANA NA YOTE SASA...
Alikanywa sana tu. Labda useme mtu unapopendwa sana na kuona mwandani hakutendei ukatili wowote unapomwudhi unahisi hana machungu kumbe anajaribu kusolve matatizo pasipo kulianzisha. Sasa jamaa kachoka na vituko kaamua kuwa jiwe mdada analalamika kila wakati.
 
Thanks Honey! Nimechukua malalamiko ya huyu rafiki yangu na kuyapost katika muundo huu ili nipate mawazo ya WanaJF kabla ya kumshauri mdada maana mwenye machungu ni rafiki yangu na alishanilalamikia zaidi ya mara moja pasipo kunitaka ushauri. Unazijua zile stori za "...... Sijui wanawake wakoje..... yaani mimi nina........ halafu ananidharau na kuni....... Haki ya Mungu akirudia namtema...... Wewe ngoja tu...." Nikipata nafasi nitajaribu kuzungumza na mdada kwa kuwa ni kama wananiheshimu kiaina (As a close family friend). Nawathamini pia.

The Analyst......mh
Hii thread si kuwa nilikuwa sijaiona la hasha yaani jinsi ulivyofikisha ujumbe naomba nikupongeze.

Huyu dada anataka nini tena chini ya mbingu hii jamani? Watu tunatafuta wenzi wa kutupenda, kututhamini na kutujali kama Mr hapa hatupati................ama kweli penye miti hapakosi wajenzi.......but kwa tabia hizi Analysist ni wazi kuwa 'ALIYEMTEMA MWANZO' alimtema kwa makosa yake bi dada.

Pole sana, kama kuvumilia umevumilia nadhani kama ujumbe huu kaupata basi atajirekebisha la sivyo hebu mlete.....kichangani kwanza, tumchezeshe chandimu ndo ashike adabu'
 
Show love to a woman you love in a three dimension fasion...Length X Height X Width=your love to her.kazi yako ni kucheza na variables tu..When L=2,H=I then W=10,KESHO L=50,H=0 then W=1000 nadhani majabu mnayo sasa.
Namaanisha siku zote anatakiwa aumize kichwa chake kwamba wewe ni mwanaume wa aina gani, yani ukichemsha hapo anakuweka kwenye kiganja.
Ukitulia swt wangu unatoa vibomu balaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom