Nakupenda sana Katavi

Leo imebidi niliweke wazi! Katavi nakupongeza sana katika kufuatilia post zako na majibu yako kwa post zingine nimegundua wewe ni mtu mwema sana!

Avater yako inanipa furaha kila wakati, mke wangu anapoiona hulazimisha nibaki kwenye post zako ili aendelee kuenjoy kuiangalia avater yako! Ukweli wangu nikikuona live nitakuwa rafiki yako na hata kuwa mdogo wako wa ukweli! Pokea salam toka kwa familia yangu!
Hahahaaaaa....mkuu wewe ni basha? Katavi look very.
 
Last edited by a moderator:
Huo nimtazamo wa member mimi naamini kila mtu kaumbwa na hulka yake dunia ya leo ukimwambia mtu umempenda tayari ameweka mawazo kwenye ngono.nimejaribu kuyatafakari haya sana na yanayofana na haya.kwanini yanakua hivi.harakaharaka nilichogundua vijana tumemsahau mungu na tumeziacha mila zetu na kuubeba umagharibi na tabia za ajabu.zamani wakati nakua wazazi wanaweza safiri na akaombwa kijana wa jirani akaja kulinda nyumba yenye mabinti na pasiwe na shida yoyote.leo jaribu uone.huyu mleta mada yuko sahihi kumpenda katavi.acheni kumpa maneno ya kitoto.big up katavi unakubalika.na uwe kiigizo chema kwetu
 
hata sielewi kwa nini watu wameichukulia tofauti hii post.
 
Dogo Katavi upoooo??????

Katavi is my close friend na he is a very good guy I know him since O-level na nilisoma naye SUA pia na huwa tunaitana dogo cku zote ...we have come a long way together and yet we come from same locality na kuikweli he deserves all the compliments... I like him too..wanaomfahamu personally watathibitisha he is such a humble person, he is a person one can always count on..... ni mutu ya watu hii mutu
 
Hahahaah! Dogo kumbe na huku huwa unapita? Maana wewe jukwaa lako la kule bondeni na lile la stress, jukwaa la siasa.
 
Back
Top Bottom