Nakupenda sana Katavi

Unampendaje mwanaume mwenzako kihivyo ? Usilete mambo ya MOMBASA hapa.

kivipi?

kupenda si kupenda tu na ni amri ya Bwana Yesu pia? kupenda kuna mipaka ya jinsia?

naona wewe ndio mawazo yako yamejaa mambo ya mombasa!
 
Hivi kuna ubaya mwanaume kumpenda mwanaume mwenzie.
Mdada kwa mdada je? Kuna wadada nawapenda humu sasa cjui nifanyaje niwachukie.
 
Katavi for PRESIDENT...Hongera Mkuu umma wa JF unakufagilia sana tu. Na yule jamaa aliyeanzisha yeye nyumbani kwake na mkewe umeshakuwa part and parcel ya familia yao. Wakiona tu michango yako basi nyumba nzima inachangamka kwa furaha tele. Mama nanihii njoo uone Katavi katuma ujumbe sasa hivi JF basi mke anakuja mbio kuusoma ujumbe huo na wote kujawa na furaha ya hali ya juu. Hongera sana Mkuu please keep it up!
 
Katavi for PRESIDENT...Hongera Mkuu umma wa JF unakufagilia sana tu. Na yule jamaa aliyeanzisha yeye nyumbani kwake na mkewe umeshakuwa part and parcel ya familia yao. Wakiona tu michango yako basi nyumba nzima inachangamka kwa furaha tele. Mama nanihii njoo uone Katavi katuma ujumbe sasa hivi JF basi mke anakuja mbio kuusoma ujumbe huo na wote kujawa na furaha ya hali ya juu. Hongera sana Mkuu please keep it up!

Da! mimi naona hapa Katavi atapata pressure sana ku-maintain hii character mkuu!!! Anyways mimi namfagilia sana....anafurahisha sana avatar + baadhi ya michango yake kama ile ya wafanyakazi wa tanesco!!!
Anajitahidi sana kuwakaribisha wana-JF wote wapya!!
 
Hata mimi namkubali mkuu Katavi, hata akiwa an achangia mada humu jamvini hana bifu na yuko neutral sana na ni moja ya mwanachama anayeongoza kwa kuribisha wagwni humu.
Keep it up Man
 
E bana wee? KATAVI, NEVER EVER DARE MEET THIS MAN! :tape::tape::tape:

images

Dah,ume nichekesha kweli mkuu
 
Hata angewekwa Husnino au missj bado tunge sema tunamkubali!! Jf wote nindugu moja ndiyo maana tunaitwa ma thinker,wanajamvi,wanamageuzi nazaidi wote tunatumia lugha adhimu na tamu ya kiswahili!! Nampa pongez bw katavi, Heading yako mh uliyeanzisha mada inakinzana na mitazamo ya dunia ya tatu yakizazi cha nyoka!
 
Leo imebidi niliweke wazi! Katavi nakupongeza sana katika kufuatilia post zako na majibu yako kwa post zingine nimegundua wewe ni mtu mwema sana!

Avater yako inanipa furaha kila wakati, mke wangu anapoiona hulazimisha nibaki kwenye post zako ili aendelee kuenjoy kuiangalia avater yako! Ukweli wangu nikikuona live nitakuwa rafiki yako na hata kuwa mdogo wako wa ukweli! Pokea salam toka kwa familia yangu!


LOL hata mimi nampenda katavi.i mean namkubali.
big up kaka
 
Wewe ni njemba? Kama wewe ni njemba basi ungei modify kidogo heading yako manake nadhani Katavi naye ni njemba kama sijakosea. Au ndo......?

Jaman hata kwenye kiswahili pameingiwa siasa?? Hivi kwani kumpenda mtu ni mpaka we wa kike tu?? Hapana jaman hili neno bado halijachakachuliwa tutoeni fikra zenye maana tofauti!
 
Back
Top Bottom