"Nakupenda sana Jack Pemba, SIYO SIRI!"

They pay kuimbwa so it comes as no surprise. Hata Dotnata alitoa hela kuimbwa na FM Academia na aka shitiki kwenye video ya mwimbo.
ukipata pesa yako kwa machungu huwezi kuwa timamu wa kulipa ili jina lako litajwe, hizo pesa za wizi na ufisadi haziwaumi ndio maana wanatapanya.

hata drc hao wanaotajwa wanafanya biashara haramu za vito na ufisadi mwingine ndio maana serikali ya drc imepiga marufuku viongozi wake kutajwa na mabendi
 
mimi naona ni bora hawa watu wanaotaka kuimbwa kwenye bendi kwa kutoa hela, watoe hizo hela zao kusaidia wasiojiweza au watoto yatima, kwani kuwa maarufu kwa kutajwa kwenye nyimbo sioni faida yake
 
WOS
siku hizi pesa ndiyo kilakitu
kuanzia sura nzuri, tabia njema na hata kukubalika kwenye jamii kunategemea pesa ulizonazo. Kama huna you are ugliest dude!!!

Ndomaana wanamuziki badala ya kureflect issues za kijamii wanashindana kuwatukuza wenye nazo. What i witnessing now ni flocks ya vandalism wa sector ya sanaa ktk jamii. Wasanii hawako tena ktk kuhamasisha wanajamii ktkkujikomboa kifikra au hata kuwapa reflection sahihi yenye mwelekeo chanya wa maisha.

Itabidi wasanii wakombolewe kifikra kwanza ndipo jamii itaenenda kimabadiliko....
need meto say more?
 
LEO NIMEJIFUNZA KITU KINGINE KIPYA JF:
Nimewahi kuanzisha thread nyingi zenye maudhui mazito... hazikuchangamkiwa kama hii.Hii haina hata masaa matatu lakini hebu oneni inavyoenda kwa kasi..wachangiaji wamechangamkaaaa!!
Ni aje??
Usijishushe bwana
umeanzisha threads nyingi kali nadhani hii umeianzisha wikend ndo maana wadau kibao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom