"Nakupenda sana Jack Pemba, SIYO SIRI!"

Hebu tuone/tuwaorodheshe wale wote wanaoimbwa tuangalia wamefanya nini cha mno kwenye jamii na kama kuimbwa kwao na kutukuzwa kunastahili:
1.Jack Pemba
2. Ndama Mtoto wa Ng'ombe
3. Papaa Msofe
4.Chief Kiumbe
5......
6. Med Mpakanjia

WoS, my darling umemsahau no. 6 Med Mpakanjia!!! Hivi hasikiki kuna nini jamani!!!??? lol!
 
Hivi kumbe hili ni kali kuliko mengine tunayokumbana nayo almost daily hapa ??
C'EST TRES DROLE!

Naona ndo hivo manake nimelitia kwenye post ya kwanza apo juu ikagoma, nikaona vinyota nikajua enhee, mambo ya kina Farida hayo hawataki mchezo lol
 
6. Med Mpakanjia

WoS, my darling umemsahau no. 6 Med Mpakanjia!!! Hivi hasikiki kuna nini jamani!!!??? lol!

Na mamaa Asha Baraka je? na kina Mudhihiri enzi hizo, kapteni John Komba,
 
Najua mtakapoona kichwa cha thread mtashangaa..kulikoni tena WoS!

Njia moja wapo ya kurelax ni muziki..... tena muziki wa nyumbani.... kuna QUOTE]

WOS,
Kulikoni tena?
Umepunguza ubora wa threads zako?
Hii imekaa kama siyo yako kwa vile haibebi mtazamo wa kijumla kama ulivyo zoea kuwaweka watu wote sawa.
Anyway, kuna watakaoipenda pia.
 
Exaudi, nadhani ni mambo ya FURAHI day, mwili naon unahitaji kurelax

Hujaona kule pingamizi kwa mgombea wa CCM biharamulo limetupwa? sasa what do you do....tafuta kamuziki jisikilizie
 
Najua mtakapoona kichwa cha thread mtashangaa..kulikoni tena WoS!

Njia moja wapo ya kurelax ni muziki..... tena muziki wa nyumbani.... kuna QUOTE]

WOS,
Kulikoni tena?
Umepunguza ubora wa threads zako?
Hii imekaa kama siyo yako kwa vile haibebi mtazamo wa kijumla kama ulivyo zoea kuwaweka watu wote sawa.
Anyway, kuna watakaoipenda pia.
R.E.L.A.X!
You cant be serious all the time....
All work and no play makes Jill a dull girl, all play and no work, makes her duller!
 
...Mpakanjia anaomboleza kifo cha mkewe, muacheni jamani,...!
 
LEO NIMEJIFUNZA KITU KINGINE KIPYA JF:
Nimewahi kuanzisha thread nyingi zenye maudhui mazito... hazikuchangamkiwa kama hii.Hii haina hata masaa matatu lakini hebu oneni inavyoenda kwa kasi..wachangiaji wamechangamkaaaa!!
Ni aje??
 
Si tuna-relax mpendwa!!! Unajua zile thread zenye kuhitaji kutoa facts siyo mchezo!!! Si mpaka upate issue sasa ya kutundika!!! Angalau hii hahitaji kupasua kichwa utoe nondo, simple like ZERO or DOGO.
 
40 haijaisha?

...aargghh, bana weeh... mwenyewe anasema 'anamtokea' kila usiku!

Si tuna-relax mpendwa!!! Unajua zile thread zenye kuhitaji kutoa facts siyo mchezo!!! Si mpaka upate issue sasa ya kutundika!!! Angalau hii hahitaji kupasua kichwa utoe nondo, simple like ZERO or DOGO.

...tena utatakiwa ulete source, kadhia yote ya nini hiyo?
 
Mhh jamani msiwakabe koo waganga njaa Akudo na wenzao hata Mzee Hassan Rehan Bitchuka aliwahi imba tena kwa sautiiii nyororooooooooooo ".. Mume wangu Jerry kusema kweli, nimechoka na visa vyakooo, sitasubiri kutokana na .................................... kila nisemalo kwako ni baya, kila nifanyalo kwako ni baya, juzi juzi umeni.... kukuonya utulie nyumbani..." but yaani big BUT wanamziki enzi za Mwalimu waliimba mafunzo, hii generation ya TVs wamepinda wanapiga makelele na kukopi nyimbo za wacongolese na dances zao, zaidi ya hapo hamna kitu. We toka lini majina yakawa wimbo tucheze?
 
Siyo siri... napenda sana wimbo wa Safari siyo Kifo wa Akudo - lakini maneno yake huwa yananifanya nishangae kidogo... yaani wanaume wazima wanamsifia mwanaume mwenzao Jack Pemba mwanzo hadi mwisho!
Atakuwa kawalipa kiasi gani?

Ninavyoelewa baadhi ya majina yanayotajwa ni ya wamiliki (au wafadhili) wa bendi mfano waziri Mudhihiri Mudhihiri au Asha Baraka. Waliobakia ni mapedejee wa mjini tu wapenda sifa.

Huku kutajataja majina kunapunguza ladha ya muziki. Bora DRC wamepiga marufuku kutaja majina ya wanasiasa kwenye muziki.
 
LEO NIMEJIFUNZA KITU KINGINE KIPYA JF:
Nimewahi kuanzisha thread nyingi zenye maudhui mazito... hazikuchangamkiwa kama hii.Hii haina hata masaa matatu lakini hebu oneni inavyoenda kwa kasi..wachangiaji wamechangamkaaaa!!
Ni aje??

Teh..., kwa wengi haya ndio maeneo ya ku-relax na kujidai baada ya wiki nzima ya kazi. Leo wako wapi wana mugongomugongo...?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom