Nakupenda lakini sikupi mwili wangu hadi unioe.

Sasa mbona rate ya ndoa zinazovunjika au zisizo na amani ni kubwa kuliko zamani ambapo walikuwa hawatest?
Ni basi tu kufuata kasumba...Mkipendana kweli kila kitu huwa kinajipa.

Wewe umeolewa unakuta dushelele kama kichwa cha mtoto mchanga, hiyo ndoa utaiweza?? Au ukute jamaa jogoo hawiki utakaa kwenye hiyo ndoa?? Kinachofanya ndoa zivunjike ni mambo mengi ndugu yangu si kwamba eti zinavunjika kwa sababu walionjana kabla..
 
Aah kaka usikubali huo ni wehu,tena ni bora mara mia hata angedanganya ni bikra,yaani kwa wengine huko awavulie halafu wewe tu ndio atake kukuuzia mbuzi kwenye gunia,usikubali.
 
Wewe umeolewa unakuta dushelele kama kichwa cha mtoto mchanga, hiyo ndoa utaiweza?? Au ukute jamaa jogoo hawiki utakaa kwenye hiyo ndoa?? Kinachofanya ndoa zivunjike ni mambo mengi ndugu yangu si kwamba eti zinavunjika kwa sababu walionjana kabla..
Hujanielewa..my question was ni kweli kutest kunafanya ndoa zidumu?
 
ni stori ya kweli, kuna rafik yangu alilia sana akataka kujiua, alipomvumilia demu kwa miaka mitano, kuja kushtukia demu akaja kupewa mimba na wajanja, wakati yeye alikuwa anaambiwa watunziane hadi ndoa!
 
Yaone mnawaza dudu tu halafu mkipata wake kahaba mnalalmika kama ulimpata kwa njia hiyo kw nini akiwa kwenye ndoa asiendele?halafu badilisheni lugha zenu hiyo k mnayotajataja ndo inawafanya msake minoti usiku mchana
 
Acha kuongopa, sababu zote ulizotoa hazina mashiko! Jiulize maswali- wanawake wanaoweza zamisha chupa za soda na bia kwenye nyuchi zao na TiGo wanawezaje? Au mwanamke anapozaa kwa njia ya kawaida mtoto anatokea wapi?

Wewe umeolewa unakuta dushelele kama kichwa cha mtoto mchanga, hiyo ndoa utaiweza?? Au ukute jamaa jogoo hawiki utakaa kwenye hiyo ndoa?? Kinachofanya ndoa zivunjike ni mambo mengi ndugu yangu si kwamba eti zinavunjika kwa sababu walionjana kabla..
 
Anakudanganya kwa sababu mbona kalalamika eti isije tokea km huko mwanzo, huyo walishambandua na wanaendelea wewe kaGabaho utajashtukia ana mimba wakati habanduliwi
 
Acha kuongopa, sababu zote ulizotoa hazina mashiko! Jiulize maswali- wanawake wanaoweza zamisha chupa za soda na bia kwenye nyuchi zao na TiGo wanawezaje? Au mwanamke anapozaa kwa njia ya kawaida mtoto anatokea wapi?

mnh punguza ukali...
 
Mtu akisema hatoi mpaka ndoa haina maana kuwa ni virgin ingwa hiyo ni moja ya plausible explanation...Inawezekana ameshachezewa sana kaona habadilishe strategy kwani ameona kutoa hakusaidii...Ameshaumwa na nyoka akiona mjusi anashtuka.

Hiyo mi naona kama blackmailing... Sijuhi kama kuna kijana atakayekubali hivyo vigezo na masharti... unless kama alikuja kwa nia ya kuoa...amekurupuka toka alikotoka amechelewa anataka mke faster...

Kutest ni muhimu kwa wote wawili...sio kuja kukimbiana usiku wa harusi...Nilisoma udaku kuna walokole walikuwa wafunge ndoa huko mabibo mchungaji kagoma kisa binti ana mimba... imagine ndoa imetolewa nje siku ya misa... Nkasema kumbe na wao wanaonja eeh Sa sijuhi mchungaji alichukua mkojo kupima au tumbo lilikuwa kubwa maana ndugu wote hawakutegemea...mama mkwe ndo kazimia kabisa maana walishaandaa sherehe.
 
Mtu akisema hatoi mpaka ndoa haina maana kuwa ni virgin ingwa hiyo ni moja ya plausible explanation...Inawezekana ameshachezewa sana kaona habadilishe strategy kwani ameona kutoa hakusaidii...Ameshaumwa na nyoka akiona mjusi anashtuka.

Hivi kwani mtu akishakuwa kwenye ndoa hawezi kuchezewa? Hebu imagine mpo kwenye ndoa na mumeo ama mke anafanya matusi nje ya ndoa yenu....kuna tofauti gani hapo?

Kutest ni muhimu kwa wote wawili...sio kuja kukimbiana usiku wa harusi...

Ni muhimu kupita maelezo. Mambo ya buyer's remorse hayahusiki kabisa.
 
Hata kwenye ndoa watu wanacheza na kuchezewa...Lakini suala hapa wadada wa hivyo wanataka ndoa...kitakachofuata baada ya ndoa hakiwahusu kwa sasa...Ndio maana nikasem blackmailers hawa..."kama unataka mchezo basi nioe" siyo blackmail ni nini?

Na kwa testmonies nyingi nilizosikia hawa wanawake wa hivi walioolewa virgin wanaishia kuolewa na players... Utasiki yani amenikuta bikra afu ananifanyia hivi... Bikra ya upande mmoja haina maana... unless wote bikra (mwanamke na mwanaume).

Hivi kwani mtu akishakuwa kwenye ndoa hawezi kuchezewa? Hebu imagine mpo kwenye ndoa na mumeo ama mke anafanya matusi nje ya ndoa yenu....kuna tofauti gani hapo?

Ni muhimu kupita maelezo. Mambo ya buyer's remorse hayahusiki kabisa.
 
Leo nilikuwa naangalia movie moja ya wapopo...kaka baada ya kuhangaika kampata mdada wa dream zake...Siku ya kwanza wako rum dada anamwambia huyo kaka.."I'm virgin". Kaka alikuwa anaendelea na romance kaacha ghafla. Dada anamuuliza kulikoni mbona umepooza ghafla...eti anajibuje "This means I have extra work to do here"

Unajua zamani ilikuwa wanawake wanaolewa na miaka 16 akichelewa sana 21. Sasa dada miaka 25 au sijuhi 30 eti virgin...ni nini...hana mvuto au... Hajakutana na wa kumpagawisha all those years kweli au hakuna wa kumtaka.
 
Hata kwenye ndoa watu wanacheza na kuchezewa...Lakini suala hapa wadada wa hivyo wanataka ndoa...kitakachofuata baada ya ndoa hakiwahusu kwa sasa...Ndio maana nikasem blackmailers hawa..."kama unataka mchezo basi nioe" siyo blackmail ni nini?

Alaaa! Kwa hiyo wanataka tu ile title ya kuitwa mke wa fulani bila kujali kama huyo fulani anaheshimu yamini walizolishana? Kaazi kweli kweli.

Pia umenikumbusha mdada mmoja ambaye aliwahi kuniambia kuwa yeye kama angefikisha umri wa miaka 30 bila mume basi angeshika mimba kutoka kwa mwanaume yeyote yule bila kujali kama huyo mwanaume atakuwepo kwenye maisha ya mtoto au la. Yote hiyo ni kwa ajili ya kiu tu ya kutaka kuitwa mama. SMH.
 
Ukisoma vizuri nini nimekiandika nadhani utakuwa umeshajipa jibu mwenyewe.... Nitakapoona nimeridhika na mambo flani flani ndio natoa..UMENIELEWA??

we umepewa bure kwa nini uwanyime wenzioooo???...endelea hivo hivo ...,,,utakuja kufa ba utamu wako kama muwa..
 
Mkuu ukiona demu anagoma kutoa "mzigo" ujue ana tatizo, inawezekana ana "mashine" mbovu sana, zingine huwa zinatoa maji maji yenye harufu, zingine ni kubwa na zimechoka...kwa ufupi anataka akuuzie mbuzi kwenye gunia!toka nduki Mkuu.....!!!
 
huo ni uchaguzi na msimamo wake wa maisha ..

kama hauendani na wako huna haja kubaki naye .
na kama unaona is "worth it" vumilia.
 
Ukiona mwanaume amenyimwa k then akaanza kutapatapa kama wewe mtoa sredi basi ujue hana lengo zuri na wewe shida yake ni k only! Bora hata umenyimwa khaaaa!
Kwani kuna shida nyingine zaidi ya hiyo..., sababu pekee(kuu) ya kumtongoza mwanamke ni hiyo, nyingine unazozijua/ambiwa ni escorts tu za sababu kuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom