Nakupenda kwa moyo wote.

una point nzuri sana lakini unashindwa kuwaelewa wachangiaji na vilevile umeshindwa kuwafundisha wale wasioelewa suala unalojaribu kulielezea sababu sijaona hata mchangiaji mmoja aliyesema anaiabudu hiyo picha..

shida yangu kubwa ni hiyo picha, ni ya na nani?

 
kwani nani kasema anaiabudu hiyo picha! hiyo ni ishara tu wewe kuonyesha kuwa huyo mtu alifanywa hivi. hata israel kwenyewe kuna picha na sanamu za hivyo nyingi wameziweka kwenye maeneo mbalimbali aliyoishi. Na wanaoabudu jiwe[/SIZE]
Mwambie huyo! mi nahisi ni walewale freemasons! amekurupuka tuu, atambue kuwa hiyo ni imani ya mtu! na si jiwe tu watu wanaabudu nyoka!:embarassed2:
 
He means EVERYTHING in our life !

559587_187147048071111_142821199170363_291100_1706032641_n.jpg

Jamani mbona mnatutia Aibu? Mnamwabudu Mzungu? Kipindi cha yesu Karema Hazikuwepo, wala Camera za Rangi hazikuwepo. Sasa Redeemer wako Kivipi? Amini kwamba YESU yupo lakini siyo huyo pichani. Tunakuwa malimbukeni na wapumbavu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom