Nakupenda jinsi ulivyo

AKON

JF-Expert Member
Feb 10, 2012
213
45
hellow great thinkers, how do you percieve the meaning of " NAKUPENDA JINSI ULIVYO"
 
hii statement inatoka kwa mwanaume ama mwanamke? kama ni mwanaume anamaanisha hata kama bidada ni MGONGO PASI yeye anaupenda huo huo mgongo pasi yani makalio yapo usawa mmoja na mgongo
 
Mi nahisi ni lugha ndio inakutatiza.ungepeleka jukwaa la lugha pengine ungalipata jibu yakinifu
 
Hii kali, yaani hujijui jinsi ulivyo? jinsi ulivyo maana yake: Usiongeze wala usipunguze. Kama ni mchafu uendelee na uchafu wako, kama maskini usifanye juhudi zozote ili uendelee, kama mweusi usijichubue, kama bushoke usibadilike, ...
 
teh teh teh, kwa statement yako, je ungependa kupendwa kama ulivyo?
 
teh teh teh, kwa statement yako, je ungependa kupendwa kama ulivyo?

hapana nisingependa kabisa kuambiwa hivyo, mtu akikuambia hivyo anamaanisha kuna mambo mabaya au mapungu fulani uliyonayo lkn hana jinsi ataendelea kuwa na wewe kwa sababu zake binafsi. Akiniambia hivyo nitamlazimisha ayaweke hayo mambo wazi ili niyajue halafu nitayapima kama na stahili kuwa ndani au nje ya mahusiano.
 
mmataka kufanya mapenzi kuwa magumu mno, sasa hivi tutumie maneno gani kwa wandani wetu??

Kila neno fake!!??!! Wakati spelling ziko sawa.
Mnanichosha.

Mie nampenda jinsi alivyo.
 
Kuna watu wanaudhi lakini unawapenda. Umeshawahinkuudhiwa na mtu lakininunajikuta hata wakati unalalamika unacheka na kutabasamu. That is what we call love, unconditional love.
Ngoja nikamjibu AshaDii, nimeshajua kwa nini niko na kaka yake
 
Last edited by a moderator:
Mkuu huyo amekubaliana na hali yote ulonayo na yupo tayari kukuchukulia kama sehemu ya maisha yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom