Nakupa link Mtanzania mwenzangu na we karibu!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,577
8,596
Jamani watanzania wenzangu mlioko tanzania na mlioko nje yatanzania na wapenda wote nanitafarijika pale nitasikia mmoja wenu amepata kazi kupitia matangazo ya kazi za UN ninayo nyweka hapa katika jamvi!lakini sitoishia hapa leo nakuja nakitu kipya kinaitwa:
Inspira ni searcher engine ya UN kazi zote lazima ziwekwe humu Dunia nzima sasa chakufanya nikuingia katika hii site na unarejista unakuwa na akaunti pale unapotaka kuangalia leo wameweka kazi gani unaingia unitazama.
https://inspira.un.org/
 
Mmmmmmm, nilishalizwa mwaka 2008 kupitia hapa hapa jamvini kisa kazi za UN! wakala documents zangu zote za mhimu. Hope hiyo link ni secure kweli na si kimtego. Ni angalizo tu.

Anyway, thanx for the info.
 
Trust me for nothing!
 
Back
Top Bottom