Nakuombea maisha mema.......

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Mara nyingi wanaojiita wapendanao, waachanapo hutokea kauli kama, nakutakia maisha mema, Mungu akujalie huko uendako na kauli nyingine zinazofanana na hizo. Mara hizi kauli humtoka muachwa. Swali: hizi kauli huwa zinatoka moyon? Au ni kinyume chake? Nawasilisha
 
hee heee
sio wote husema hivyo

wengine huwa wakweli zaidi

utasikia haya nenda kwa huyo anaekuzuzua
na ukiachwa huko usirudi hapa,huna shukrani kabisa lol
 
Mara nyingi wanaojiita wapendanao, waachanapo hutokea kauli kama, nakutakia maisha mema, Mungu akujalie huko uendako na kauli nyingine zinazofanana na hizo. Mara hizi kauli humtoka muachwa. Swali: hizi kauli huwa zinatoka moyon? Au ni kinyume chake? Nawasilisha

Zinaweza kabisa kuwa zinatoka moyoni. Si kila "muachwa" humtakia mabaya yule aliyemuacha na kumbuka pia wengine baadaye hurudiana baada ya kugundua makosa yao, kama tunaweza kuyaita makosa.

Last edited by a moderator:
inategemea mmeachanaje, me cjawahi kumuaga mtu,nahakikisha anajua kosa/kinachotuachanisha then i leave without a word
 
Hapo ndoa bado ipo sana, kwani kuachana huwezi kupata hata muda wa kuagana, mnafanya utani na kuachana eeeh.
 
Hapo ndoa bado ipo sana, kwani kuachana huwezi kupata hata muda wa kuagana, mnafanya utani na kuachana eeeh.
Ndhani upo sahihi sana
no time ya kuaga sijui nin
yan kuachwa no mazungumzo maana ile hali mtu unayokuwa nayo
lolol msinikumbushe unatamani kuhama dunia for a while..
 
Ndhani upo sahihi sana no time ya kuaga sijui nin yan kuachwa no mazungumzo maana ile hali mtu unayokuwa nayo lolol msinikumbushe unatamani kuhama dunia for a while..
pole, kuachwa ni shughuli pevu by Khaleed Chokoraa
 
Back
Top Bottom