Nakuomba eeemungu wa rehema, umsamehe yule KIBAKA aliyeniibia Blackberry!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,985
20,263
Hakika kila tukio ktk maisha ya binadamu lina sababu zake, zaweza kuwa njema au mbaya lakini mbele za mungu yote ni mema kabisa!
Mungu amenisaidia nimerudi tena hewa kwa daraja la juu zaidi! Yani kibaka kaiba curve mimi nimemrukia hatua ndefu zaidi.

Nakuomba eemungu wa rehema umsamehe huyo kibaka kwani naamini kabisa tatizo ni umasikini uliosababishwa na serikali ya ccm chini ya Vasco da gama aka Sharobaro!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom