Nakumbuka jinsi JK alivyonichekesha

nkomelo

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
216
44
Siku ya 5/2/2011,ilikua siku ambapo CCM ilitimiza miaka 34.

Katika hotuba yake mwenyekiti CCM taifa alisema mengi likiwemo la kujivua gamba.

Alipoanza kuzungumzia umeme alichekesha aliposema matatizo ya umeme yanasababishwa na kupungua kwa maji katika bwawa la Mtera na yeye wala serikali si watu wanaotakiwa kulaumiwa, akasema URAIS SIYO WINGU angekuwa wingu angeenda Mtera akanyeeeeeeesha bwawa likajaa watanzania wakapata umeme.
 
ndio mkuu haya ndio majibu rahisi tusiyoyataka kwa mtu kama rais kusema maneno kama hayo ni kutofikiria. akijua na kuamini watu wote ni majuha kama yeye.
 
Kwani yeye wingu?Kwani yeye pesa??Kwani yeye barabara???Mbona mnamtaka afanye vitu ambavyo yeye sio vitu hivyo?>

Alivyoomba U-Rais alidhani anakwenda picnic.?! Uongozi ni kuonyesha njia.,sasa hata kuonyesha njia kwake ni ngumu kwanini asilalamikiwe..
 
Hata mimi nnacheka pale aliposema kua wanafunzi wanaopata mimba ni viherehere vyao!
 
huyu ndo Rais mwenye PhD mbili? ukilaza umepitiliza kwa kweli sijui huko UD alikuwa anafaulu vipi mitihani
 
Mimi Alinichekesha aliposema AMETUTOA HAPA NA KUTUFIKISHA PALE!
tena swali lenyewe aliulizwa na kibonde
 
Mimi alinichekesha aliposema hata yeye hajui kwanini watanzania ni maskini
 
hivi mnamsikilizaga saa ngapi? hivi huo muda wa kumsikiliza si bora ukapige laga upate akili ya kuongea kiingereza?
 
Alinichekesha pia alipokuwa anamtetea Chitarilo wakati kesi ikiwa mahakamani kuwa kelele za mlango hazimuzuii mwenye nyumba kulala ndani

Pia aliposema kuwa hajui kwanini TZ ni masikini mbali na raslimali zote
 
Mimi ananichekesha na semina elekezi zake ambazo zikimalizika waliolekezwa hawajui pa kuelekea.
 
Kwa kuwa wakati ule sikumsikiliza, asante kwa mada, kwa sababu ndio nacheka sasa!
 
wakuu hadi sasa ninapoendelea kusoma hizi post nazidi kucheka, yaani fully commedy....
mie nimecheka mengi sana siwezi hata kuyaandika........nacheka km zuzu hapa nilipo....ha ha ha haaa
NILICHEKA ZAIDI ALIVYOPOKEA HUNDI FEKI na pale alipowaambia wazee (magamba) wa dsm kuwa mshahara hautaongezwa hata kwa miaka 8 ijayo halafu kwenye campain akaongeza. ha ha haaaaaa
 
Kwani yeye wingu?Kwani yeye pesa??Kwani yeye barabara???Mbona mnamtaka afanye vitu ambavyo yeye sio vitu hivyo?>

usipost upepo huku ukiona kiongozi analalamika amekosa Maono! Nenda kanye kama una mavi si unaandika mawazo ya makalioni
 
Huwa nnacheka sana anapoanguka kwenye majukwaa sijui Ni Majini huwa yanamzidi.anafallfall kama vischana vya secondary.huwa nacheka mpaka naruka juu!
 
nilicheka alipokuwa anatia huruma kwenye hotuba yake ya mwisho wa mwezi wa pili ,na natumai mwisho wa mwezi huu lazima atie huruma tena kwa kusema kuna watu wanataka kuvuna amani kwani mwezi huu unafanana na ule kwani pia mauaji yametokea tena tarime na polisi wake ndio wamehusika.
 
Back
Top Bottom