Nakula bata kwanza, ndoa baadaye: ODAMA

misnomer

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
200
69
ODAMA: Ukiwa ndani ya ndoa utakuwa unabanwabanwa na mwanaume, huwezi kula bata kama
unavyoweza kula ukiwa singo. Kwa hiyo bora nimalizie kabisa nikiingia huko niwe nimeshatosheka.
5.jpg


Odama-header.jpg



Odama-Side.jpg


odama.jpg
 
Ngoja apigwe apigwe na wenyenazo siku wakimchoka atakumbuka kuolewa.

Saizi sauti za wanaume wakware wamemchanganya.
 
Sjaona uzur wake...wa kawaida saaana!Anyway, 'beauty is in the eyes of the beholder'....
 
Ngoja apigwe apigwe na wenyenazo siku wakimchoka atakumbuka kuolewa.

Saizi sauti za wanaume wakware wamemchanganya.

Kwani hamwogopi Mungu? pia hao watakaompiga kama watamwacha salama si ndo kuolewa kutakuwepo?
 
Je wewe wakati ukila bata, unatarajia kumuua nani kwani ninyi wasaniii wa kike nasikia mnakuja na sera ya kutoa watu roho.
 
Back
Top Bottom