nakuja dar wenyeji mpooo?

Kongosho alisema angekuja kukupokea, bado hamjaonana?

Kongosho?!!ningekimbia kama sina akili nzuri!huyo nishamuambia kama kukutana kituo cha polisi labda!Kongosho haelewekagi,unaweza kudhani anakuja msichana mrembo kumbe.......
 
kwa mlioko maeneo ya Sinza na mtaangalia gemu ya man utd ktk bar nialikeni tafadhali tujumuike pamoja!napiga menu hapa nikimaliza nitoke nikacheki gemu!
 
Mbona mwenye nyumba amewasilisha madai mapya aise anakudai mahari ya mtoto wake ambaye uliahidi utamuoa

Rocky nilishakuambia nishaoa lakini hutaki kukubali!nikirudi chuga siku nitakukaribisha home mkuu!tatizo lenu mnajificha mno na id zenu!teh!teh!teh
 
boflo ana hasira hasije kukutukana bure lakini kiboko yake mama mkwe wangu

Boflo hana noma,tatizo lake ni kusuta watu!akija hapa utasikia "we kaka we Boflo wamtakiani?nitakupiga na kipande cha mkate uondoke unalia na kupiga ukunga!mwana hizaya weye!"!
 
mkuu unalala saa ngapi wewe?

mie nalala now, naomba unibip saa 12.00 asubuhi niwahi kuwatumikia Watanzania
 
My swty wifi,
Huyu ni classment jaman,
Na akija atawsiliana na kaka yako ndio tumkaribishe kwetu!

Jaman mbona shem wangu Nitty sijamuona pande hizi siku nyingi?

tena kuna sehemu umeandika umesoma Narumu!mke wangu alisoma hapo pia!mmeo Rejao tulishaanza kuwasiliana hapa ghafla kapotea!ila mmeo mtu poa sana na lipua lake lile ila kule kwenye siasa anakera watu!wanaweza wakamlipua kule!
 
Inawezekana kbs,
Ukimaliza mizunguko yako wasiliana na mme wangu rejao ukaribie kwetu lol!

haswaa!mdada yeyote atakayependa kukutana nami tukutane akiwa na mmewe au bf wake!kama yupo single siku nyingine nikiwa na mke wangu ndio tukutane!mambo ya Mtambuzi na Saniah sitaki yanitokee!lol!tena wadada wa dar wanadhani wanaume wa arusha wana hela za mawe!
 
tena kuna sehemu umeandika umesoma Narumu!mke wangu alisoma hapo pia!mmeo Rejao tulishaanza kuwasiliana hapa ghafla kapotea!ila mmeo mtu poa sana na lipua lake lile ila kule kwenye siasa anakera watu!wanaweza wakamlipua kule!

Duh!inawezekana nimesoma na mkeo pia,

Mme wangu lzm itakua kule kwenye siasa ndio anapopapenda,kumlipua hawawezi kwan huwa anacheza karata zake vizuri na ambao hawajamzoea wakiingia kichwa kichwa wanakula BAN na kumwacha swty wangu anapeta tu,

Mie kule naishiaga kumsoma tu mapwein yake na watu wanatoa mapovu uatafikiri wanamwona kumbe ni kii bodi tu!!!
 
haswaa!mdada yeyote atakayependa kukutana nami tukutane akiwa na mmewe au bf wake!kama yupo single siku nyingine nikiwa na mke wangu ndio tukutane!mambo ya Mtambuzi na Saniah sitaki yanitokee!lol!tena wadada wa dar wanadhani wanaume wa arusha wana hela za mawe!
Hahha hahhha hahahha,
Hiyo pweint kbs mwaya,
Ila sio wadada wote wa dar tuko ivo bana,wengine wako single na niwastarabu tu!!!
Itategemea na utakavowaingia ukiingia vibaya waweza kosa nauli ya kurudi Ara chuga!!!
 
Duh!inawezekana nimesoma na mkeo pia,

Mme wangu lzm itakua kule kwenye siasa ndio anapopapenda,kumlipua hawawezi kwan huwa anacheza karata zake vizuri na ambao hawajamzoea wakiingia kichwa kichwa wanakula BAN na kumwacha swty wangu anapeta tu,

Mie kule naishiaga kumsoma tu mapwein yake na watu wanatoa mapovu uatafikiri wanamwona kumbe ni kii bodi tu!!!

teh!teh!teh!Rejao noma!mi mwenyewe namkubali jinsi anavyowatoa watu mapovu!eti nasikia ni dereva STK ni kweli?ajitahidi apande cheo awe mbeba mifuko ya rambo wa baba mwanaasha atapanda pipa mpaka acheue nanyi mtakula per diem mpaka mpasuke!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom