Nakubaliana na Mnyika/Chadema

Naungana na Mnyika hawezekan wananchi wanauwawa kama kuku
 
Yan zomba umechoka na ccmwabepande hadi unachangia ili mradi uchangi najua ulicho kiandika sicho unacho kiamini.

Tuache uongo Polisi wameua bwana hata wewe unajua kweli liwalo na liwe!

Ndio wenyewe mmejiona wajanja hapo? kuuwana halafu kusingizia Polisi. Ya Morogoro mliona mmeikosea, hii mkahakikisha mnamsambaratisha.
 
Ilimtaka I.G.P ampigie simu/apokee simu ya Dr Slaa,ikamtaka aandae risasi na mabomu ya kutosha na baada ya hapo waandae karamu ya kujipongeza kwa mauaji,kwa kua ni bora kufa kuliko kuendelea na manyanyaso ya polisi,pia alimtaka I.G.P wajiandae kwenda The Hague

hilo la sms ni story iliyopikwa kunogesha filamu yetu inayoendelea... kumbukeni hata nusu haijafika
 
Ubaya wameweka kipande kidogo sana cha sehemu ya hiyo sms(filamu) sasa sijui hawataki kutupa uondo wote mapema kwa kua sterling ataonekana wa kihindi au wanaogopa movie itaharibika mapema
 
hivi kwann polisi watake kumuua huyu mwandish wa habari? je ni stail kama ya ulimboka ama kuna nini hapo? mbona kila nikiwaza sion kama napata jibu la what was behind the scene hadi wamlipue kwa bomu?

Ni hasira za kuwakosa Dr Slaa na viongozi wengine wa CHADEMA, na inasadikika Mwangosi aliijua hiyo move na manake angeiweka wazi,so wamwuua ili pia kuficha ushhidi wa njama za kuwauwa viongozi wa CHADEMA,sababu nyingine ni kuleta hofu kwa watanzania ili wasihudhulie mikutano ya CHADEMA.
 
Yan zomba umechoka na ccmwabepande hadi unachangia ili mradi uchangi najua ulicho kiandika sicho unacho kiamini.

Tuache uongo Polisi wameua bwana hata wewe unajua kweli liwalo na liwe!

Ukamvae mkuu wa FFU halafu wameshakwambia "sambaa" halafu afande wake akufyatue halafu useme polisi kauwa? huo ni mchezo wa kuigiza, ukweli unabaki pale pale.
 
Ni hasira za kuwakosa Dr Slaa na viongozi wengine wa CHADEMA, na inasadikika Mwangosi aliijua hiyo move na manake angeiweka wazi,so wamwuua ili pia kuficha ushhidi wa njama za kuwauwa viongozi wa CHADEMA,sababu nyingine ni kuleta hofu kwa watanzania ili wasihudhulie mikutano ya CHADEMA.

kwa stail hii tutachelewa sana mkuu. anyway wao wana dola sisi tuna Mungu.
 
Ukamvae mkuu wa FFU halafu wameshakwambia "sambaa" halafu afande wake akufyatue halafu useme polisi kauwa? huo ni mchezo wa kuigiza, ukweli unabaki pale pale.

hivi sheria zinaowalinda wanahabari za kimataifa zinasemaje mkuu zomba?
 
Last edited by a moderator:
hivi sheria zinaowalinda wanahabari za kimataifa zinasemaje mkuu zomba?

Sheria zinazowalinda wana habari ni sheria kama zinazomlinda raia yeyote, ila kuna mambo ya ku avoid ukiwa kwenye riosts, uwe mwandishi wa habari au usiwe, usijaribu hata siku moja kuwafata FFU wanapotawanya watu, soma hii kidogo halafu ukitaka kwa undani zaidi fata link hii:

Warnings
Do not approach police lines to attempt to cross to safety. Police are in place to confine the unrest and prevent its spread. Their orders are usually not to allow anyone to pass. The use of riot control measures, including rubber bullets, tear gas, and water cannons originate from the police line, and the likelihood of injury is greatest there.

Source: How to Survive a Riot: 2 Methods - wikiHow
 
Ni hasira za kuwakosa Dr Slaa na viongozi wengine wa CHADEMA, na inasadikika Mwangosi aliijua hiyo move na manake angeiweka wazi,so wamwuua ili pia kuficha ushhidi wa njama za kuwauwa viongozi wa CHADEMA,sababu nyingine ni kuleta hofu kwa watanzania ili wasihudhulie mikutano ya CHADEMA.

wasihudhurie
 
Sheria zinazowalinda wana habari ni sheria kama zinazomlinda raia yeyote, ila kuna mambo ya ku avoid ukiwa kwenye riosts, uwe mwandishi wa habari au usiwe, usijaribu hata siku moja kuwafata FFU wanapotawanya watu, soma hii kidogo halafu ukitaka kwa undani zaidi fata link hii:

Warnings
Do not approach police lines to attempt to cross to safety. Police are in place to confine the unrest and prevent its spread. Their orders are usually not to allow anyone to pass. The use of riot control measures, including rubber bullets, tear gas, and water cannons originate from the police line, and the likelihood of injury is greatest there.

Source: How to Survive a Riot: 2 Methods - wikiHow

Vizuri sana Mr Zomba,hiyo link imeweka wazi kila kitu,kwanza sidhani kama Iringa kulikua na riot zaidi ya polisi kuvamia kikundi kidogo cha watu,pili wanachotakiwa kutumia ni rubber bullets,tear gas and water canonns inakuaje wao wanatumia risasi za moto na mabomu mazito?sheria ipi inawaruhusu kama sio kutaka kuuwa kwa kudhamiria na kujawa na uhayawani?
 
Riot inaweza kuwa hata ya mtu mmoja au wawil, funguka. Watu wanasombwa na magari na wengine wametoka toka Mbeya na Iringa mjini halafu unasema kikukndi kidogo? hivi unayaandika haswa haya kwa nia safi kabisa na wala sio kwa kubishana mradi kubisha tu?

Ukatazwe kufanya mkutano, ukafanye kwa nguvu, uambiwe sambaratika ukatae na uanzishe fujo, ukitupiwa vibomu vya machozi na wewe unashambulia kwa mawe kwa dakika 30 halafu useme hiyo siyo riot? Isitoshe wakati huohuo atoke mmoja kwa kujiona yeye ni hodari sana akamvae mkuu wa kikosi? hiyo kama si suicide ni nini?

Ukweli unabaki kuwa ukweli hauchakachuliki!
 
Huyo kajiua mwenyewe, fikiri, Polisi wamesema tawanyika, wamebeba na kitambaa chekundu chenye maandishi ya kuwataka mtawanyike au watatumia nguvu, mnakataa, halafu wakianza kurusha mabomu ya machozi, wewe unatoka mbio unakwenda kumvaa na kumkumbatia mkubwa wao? si unajitafutia kifo tu.

Ulikuwepo? Au ni maneno ya kijiweni
 
Riot inaweza kuwa hata ya mtu mmoja au wawil, funguka. Watu wanasombwa na magari na wengine wametoka toka Mbeya na Iringa mjini halafu unasema kikukndi kidogo? hivi unayaandika haswa haya kwa nia safi kabisa na wala sio kwa kubishana mradi kubisha tu?

Ukatazwe kufanya mkutano, ukafanye kwa nguvu, uambiwe sambaratika ukatae na uanzishe fujo, ukitupiwa vibomu vya machozi na wewe unashambulia kwa mawe kwa dakika 30 halafu useme hiyo siyo riot? Isitoshe wakati huohuo atoke mmoja kwa kujiona yeye ni hodari sana akamvae mkuu wa kikosi? hiyo kama si suicide ni nini?

Ukweli unabaki kuwa ukweli hauchakachuliki!

Acha kizunguzungu jibu msawali ya 1800
 
Ulikuwepo? Au ni maneno ya kijiweni

Tazama picha, wameweka hata kitambaa kinachoonekama mita 200 kikiwataka watawanyike kwa amani na wakikadi serikali itatumia nguvu, hukukiona? sikuwepo lakini hiyo Ilani nimeiona humuhumu JF.
 
Back
Top Bottom